huyu mwanamke ni tapeli wakuu,niliwasiliana nae ndani ya dakika moja akawa amenidanganya mara 2,sikumtafta tena.mara ya kwanza akaniambia yuko tunduma kwa mjomba wake,muda mfupi tena nikamuuliza uko wapi akadai mtwara kwa mama yake,nikaishiwa pozi sukumtafta tena.
nikamuuliza tena umesema uko wapi,akajishtukia eti oooh sory awali nilisema niko tunduma,ni story ndefu mawazo yananitesa,nikajua huyu kimeo,sikumtafta tena.
kuweni makini.