Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kama una mtoto, elekeza mapenzi yako yote kwa mwanao, kama huna basi piga kazi kwa bidii wanaume watajileta tu wenyewe.
Shida ya wanawake wengi ambao kiumri wako above 25 au chini ya hapo ila wanapost wanahitaji mume ni ngumu sana kupata kwasababu ya mentality zao..
Wao wanataka mtu perfect alieko mawazoni mwao ambae hata wao hawajawahi kudate nae achilia mbali hata kuonana na mtu perfect wa kiwango wanachotaka.
Mbaya zaidi wanachagua mno, ni kweli wagaigai ni wengi ila kupata mwenza kwa social networks kwa njia hii ya kutangaza ni ngumu sana.
Ni kujiongezea stress tu