Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
- Thread starter
- #301
Nimekuelewa dear,Sasa usimnyime mtoto Ila usimpe majukumu
Akiamua mwenyewe kuhudumia ahudumie akiacha aache kuliko kukata kabisa inamadhara Sana kwa watoto
Nitaufanyia kazi huu ushauri