Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.
Ndio ivyo hata kwenye shortlist sijatokea, angefaidi na roho yake.. ila ndio ivyo nimeangukia pua 😄😄😄 angeanza niganda kama ruba huyu.. hao huwa wana jitaji mtu atae weza reverse mind zao tu.. Kwisha kazi..
Sema nini mwanetu hebu tusubiri huenda atakuwa ameona comments zako hapa akakufikiria
 
Kingine
Mimba inahitaji utulivu kuipata sio Ile upanie
Unashiriki tendo huku unawaza sijui itaingia no
Inahitajika utulivu
Jane mbona nimekupenda ghafla,
Niliambiwa hicho kitu kuhusu utulivu ili hormones zitulie pia, tena nikaambiwa nianze kwanza kutengeneza bond na huyo mtu kabla hatujaingia kwenye tendo
 
My child nisimuone, nisi play part kwenye malezi yake? Over my F U C K I N G dead body,, nimesoma huu uzi nimekuwa irritated kwenye the fact that i won't be there for the kid,,

Mwanaume atakayekubali kufanya huu upuuzi wa kutengeneza kiumbe and vanish into thin air like nothing happened atakuwa hana akili vizuri anatumia makamasi kufikiri[emoji35][emoji35][emoji35] upuuzi tu...

Do you think raising a kid ni easy eti,,, kwa akili zako hata my dog sikuachii
 
Labda kama sio mimba hizi nnazozijua mimi
Za kunywa folic acid,ferrotone mara uambiwe bed rest mara itishie kutoka mara usikie unakabwa kooni na mtoto
Sometimes unatamani uende sheli ukanuse harufu ya petroli usiku wa 8 nakwambia hivi mariposa mwenyewe utampigia baba kijacho aje akusaidie🤣🤣🤣🤣🤣 na huo ukaribu hutaweza kuukwepa mana kuwa peke yako yatakushinda!
Mimba sio mchezo mama,tena ikikukataa mwanzoni ndo utaomba na baba kijacho akuoe awe anakufariji kwa ukaribu!
 
Sasa si uwakubalie wanaokutongoza huko duniani. Fanyeni mapenzi ukipata ujauzito usimwambie mlime kibuti kimya kimya.
Great thinking, mjanja uyo anahitaji atayeweza kumbadilishia gear angani, au baadae mawazo yakimbadilika kuolewa
 
Ahsante sana Kaka angu Mshana kwa ushauri mzuri wenye maneno ya busara na tone ya upole,
Najiombea sana na mimi jambo langu lifanikiwe lakini kama hutojali hata kwa PM unitajie hizo taasisi zinazouza mbegu niwatafute kama nitamudu gharama zao
Sasa we lesbian km huwez hata kumudu cost ya kununua sperm uyo mtoto utamlea vip au unataka ukamuuze afu baba asipate kitu
 
Kuliko ufanye mzunguko wote huo si afadhali uende tu pale IVF Mikocheni kwa sababu tayari umesema una mchuzi wa kutosha kijiendesha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom