Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.
Ninakuhakikishia, kwa namna hii hata mimba hutobeba.

Mimba inahitaji utulivu mno haswa kwa mtu mwenye matamanio makubwa. Mwanaume pia awe na utulivu ili mbegu zake ziwe na afya na kuchevusha kwa wakati.

Mnapaswa kukutana, kuzoeana na kukubaliana. Akili na nafsi zenu ziridhiane, alafu process za kumpata mtoto zianze.

Mwanaume asiende kwa mentality ya kupata utelezi na kufurahia shoo, kwa sababu mwanamke msagaji ni ngumu sana kufurahia shoo ya mwanaume, ni mara chache mno.

Na wewe pia usiende kwa gia ya mwanaume amwage, mbegu zisafiri kuelekea kwenye yai kwa ajili ya kutungisha mimba, hiyo itakuwa pata potea.

Usisahau, mimba kutunga si kupata mtoto. Mimba nyingi zinatoka kwa sababu kadhaa. Unahitaji ukaribu sana na mwanaume husika.

Msikutane siku ulizo kwenye joto pekee, jambo hili liwe endelevu na furaha. Kwamba mnachukua hotel na kazi ni moja tu, kupigana miti.

Mungu akusaidie
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom