Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
- Thread starter
-
- #301
Nimekuelewa dear,Sasa usimnyime mtoto Ila usimpe majukumu
Akiamua mwenyewe kuhudumia ahudumie akiacha aache kuliko kukata kabisa inamadhara Sana kwa watoto
Sema nini mwanetu hebu tusubiri huenda atakuwa ameona comments zako hapa akakufikiriaNdio ivyo hata kwenye shortlist sijatokea, angefaidi na roho yake.. ila ndio ivyo nimeangukia pua 😄😄😄 angeanza niganda kama ruba huyu.. hao huwa wana jitaji mtu atae weza reverse mind zao tu.. Kwisha kazi..
Jane mbona nimekupenda ghafla,Kingine
Mimba inahitaji utulivu kuipata sio Ile upanie
Unashiriki tendo huku unawaza sijui itaingia no
Inahitajika utulivu
Great thinking, mjanja uyo anahitaji atayeweza kumbadilishia gear angani, au baadae mawazo yakimbadilika kuolewaSasa si uwakubalie wanaokutongoza huko duniani. Fanyeni mapenzi ukipata ujauzito usimwambie mlime kibuti kimya kimya.
Hujaona PM yangu Mariposa acha nitume tena.. Ila walau nitapa hata nafasi ya mlo mmoja na wewe tuyajengePM yenyewe hujaja unaruka ruka tu hapa
Kahaba hili[emoji1]Hayo maombi yako yarudi kwenye kizazi chako cha sasa hadi cha tano.
Wewe tena[emoji28]Njoo pm mrembo tuyajenge fasta. Mwenyewe nahitaji kumpa mimba mwanamke
Sasa we lesbian km huwez hata kumudu cost ya kununua sperm uyo mtoto utamlea vip au unataka ukamuuze afu baba asipate kituAhsante sana Kaka angu Mshana kwa ushauri mzuri wenye maneno ya busara na tone ya upole,
Najiombea sana na mimi jambo langu lifanikiwe lakini kama hutojali hata kwa PM unitajie hizo taasisi zinazouza mbegu niwatafute kama nitamudu gharama zao
Ata wewe unakaribishwaWewe tena[emoji28]
Njoo muhimbili nikusaidieUnaijua bei ya kupandikiza lakini?
Kama utanilipia nipo tayari hata sasa hivi
Sasa hela ya kupandikiza mbegu huna , utaweza hela za kumkuza mtoto awe na matunzo Bora kama unavyojigamba hapa.Unaijua bei ya kupandikiza lakini?
Kama utanilipia nipo tayari hata sasa hivi