Nimeona mwanawane wacha nikamtie mimba fastamzabzab kuna zari hapa. Mie nipo tayari ila naona kuna vigezo vyake vinanichomoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona mwanawane wacha nikamtie mimba fastamzabzab kuna zari hapa. Mie nipo tayari ila naona kuna vigezo vyake vinanichomoa
Njoo pm mrembo tuyajenge fasta. Mwenyewe nahitaji kumpa mimba mwanamkeRejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,
Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia niolewe nizae,
Nimefata ushauri wa kuzaa lakini sikua peke yangu kwenye shauri hilo niliwashirikisha familia kua sitaki kuolewa lakini nataka kuzaa ilikua vuta nikuvute hatimae wakakubali,
Ninazaa sababu napenda watoto na umri unaniruhusu lakini sio nazaa ili nibadilike hivi nilivyo au niweke mwamvuli kwa jinsi nilivyo HAPANA,
SIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu
2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)
3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana
4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha
5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu
6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano
7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya
SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu
2. Lesbian
3. Ready kua Mama
4. Umri miaka 28
5. Nipo Dar es salaam
NB: Sio lazima uwe wewe Mwana Jf unaweza kua na Ndugu au Rafiki ukatuunganisha.
Mawasiliano yawe PM.
Natanguliza Shukrani.
Ubini wangu, yawezekana nikataka mwingine kama changamoto za mimba hadi kuzaa zitakuwa tofauti na ninavyohadithiwa, wivu wa nini sasa mimi maisha yako sitahusika nayo na yangu usihusike nayo.Tunakata mawasiliano?Mtoto atapewa ubini gani?Nitaruhusiwa kuwa namtembelea?Ukinogewa na "vita" utataka mtoto mwingine?Ina maana hauna chembe hata "unusu-kasarobo" ya wivu?Nina mke na watoto ujue?Hata hivyo,kila la kheri bibie mzuri.Tatizo kwangu ni umri.Mbele ya umri,40 yangu kuna +++ za kutosha.
Mimi niko poa kiafya sina shida miaka 32 na niko tayari ila kuna sharti moja ndo gumu tu, kama unaweza niwe naona picha zake basi karibu PM hata kama asipo mjua baba yake sawa.Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,
Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia niolewe nizae,
Nimefata ushauri wa kuzaa lakini sikua peke yangu kwenye shauri hilo niliwashirikisha familia kua sitaki kuolewa lakini nataka kuzaa ilikua vuta nikuvute hatimae wakakubali,
Ninazaa sababu napenda watoto na umri unaniruhusu lakini sio nazaa ili nibadilike hivi nilivyo au niweke mwamvuli kwa jinsi nilivyo HAPANA,
SIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu
2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)
3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana
4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha
5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu
6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano
7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya
SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu
2. Lesbian
3. Ready kua Mama
4. Umri miaka 28
5. Nipo Dar es salaam
NB: Sio lazima uwe wewe Mwana Jf unaweza kua na Ndugu au Rafiki ukatuunganisha.
Mawasiliano yawe PM.
Natanguliza Shukrani.
Ahsante sana Kaka angu Mshana kwa ushauri mzuri wenye maneno ya busara na tone ya upole,Pole kwa yote uliyopitia Mariposa ni hatua nzuri uliyofikia.. Mimi nizidi tu kukuombea na kukutia moyo! Kuna baadhi ya taasisi wanauza mbegu hivyo unaweza kwenda huko!
Hofu yangu ni future ya mtoto atakayezaliwa..! Udogoni sio tatizo sana lakini kadiri atakavyokua hasa maisha ya shuleni akisikia wenzake wakisimulia kuhusu baba zao wakati yeye hana/hamjui anaweza kuathirika kisaikolojia na kutengeneza tatizo jipya
Kwa hatua ya kutaka kubeba mimba tena bila kupandikiza mbegu ni hatua nzuri sana kwakuwa inaweza kumaliza tatizo ulilonalo! Bila kutegemea wala kupanga mimba ikishatungwa hisia zinaweza kuanza kubadilika na kuanza kumhitaji mzazi mwenzako awe karibu nawe.. Mimba huja na mengi
Ikikutokea hivyo na huyo mzazi mwenza mtarajiwa akaku handle vema utakuwa umemaliza tatizo moja kwa moja.. Ila akizingua ndio basi tena
Yote kwa yote NAKUOMBEA
Akishazaa na wewe TU,Gawa mbegu, kwani nini
Asante.Mimi nakuongezea mbinu moja tu.Nenda kwenye mabenki ya mbegu za kiume ununue wakupandikize upate mtoto.Waonaje bibie?Ubini wangu, yawezekana nikataka mwingine kama changamoto za mimba hadi kuzaa zitakua tofauti na ninavyohadithiwa, wivu wa nini sasa mimi maisha yako sitahusika nayo na yangu usihusike nayo
Umelikamata utamu.Dume hili.Mwandiko wa kiume huu
Imenibidi nicheke hapo kwenye kuongea kwa misimamo ile ile ya kilesbianWewe bora usizae tu!! Manake unaongea kwa misimamo ile ile ya kilesbian lesbian!! Kiufupi huwezi kutoka huko ulesbianini!! Huyo mtoto atakuwa either shoga au lesbobo mtarajiwa! Ni bora ukabaki hivyo hivyo na ulesbobo wako kuliko kumuingiza kiumbe asiye na hatia kwenye huo ulimwengu wenu!! Endelea tu kusuguana na wenzio,sio kila mwanamke anaweza kuwa mama!! Tulia huko huko kwenye ulimwengu wako!
Pole kwa yote uliyopitia Mariposa ni hatua nzuri uliyofikia.. Mimi nizidi tu kukuombea na kukutia moyo! Kuna baadhi ya taasisi wanauza mbegu hivyo unaweza kwenda huko!
Hofu yangu ni future ya mtoto atakayezaliwa..! Udogoni sio tatizo sana lakini kadiri atakavyokua hasa maisha ya shuleni akisikia wenzake wakisimulia kuhusu baba zao wakati yeye hana/hamjui anaweza kuathirika kisaikolojia na kutengeneza tatizo jipya
Kwa hatua ya kutaka kubeba mimba tena bila kupandikiza mbegu ni hatua nzuri sana kwakuwa inaweza kumaliza tatizo ulilonalo! Bila kutegemea wala kupanga mimba ikishatungwa hisia zinaweza kuanza kubadilika na kuanza kumhitaji mzazi mwenzako awe karibu nawe.. Mimba huja na mengi
Ikikutokea hivyo na huyo mzazi mwenza mtarajiwa akaku handle vema utakuwa umemaliza tatizo moja kwa moja.. Ila akizingua ndio basi tena
Yote kwa yote NAKUOMBEA
Picha utaziona usijali juu ya hilomimi niko poa kiafya sina shida miaka 32 na niko tayari ila kuna shariti moja ndo gumu tu, kama unaweza niwe naona picha zake basi karibu PM hata kama asipo mjua baba yake sawa.
Ufafanuzi tafadhali mkuu !Ha ha ha ....
Mwenye link ya ule Uzi wa
"Naomba tuzale, ntalea mwenyewe"
Huu Ni mtego, jichanganye Sasa [emoji28]