Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.
Wewe ni mbinafsi, unajiangalia wewe tu kufanikisha mambo yako ili uwe na wepesi wa kufanya mambo yako ya kilesbian bila mikwaruzo mingi kutoka kwa familia yako. Na hivyo haujali kabisa haki ya mtoto wako ya kumjua baba yake. Kwa ubinafsi wako utaathiri hata saikolojia ya akili ya mwanao kwa sababu naye atataka kujua baba yake alipo ila wewe utakuwa unampa jibu lisilo na mashiko.
Huwezi kujifanya eti unapenda watoto halafu mtoto wako mwenyewe unataka kumnyima haki ya kumjua baba yake. Shame on you!
Yani kumtia mtu mimba tu iwe tatizo kubwa kiasi hiki? Mariposa njoo inbox kama uko tayari. Na useme unataka mimba ngapi?. Na anaetaka mwingine niunganishe sitaki hata Mia yake
CC. mzabzab
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,

Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia niolewe nizae,

Nimefata ushauri wa kuzaa lakini sikua peke yangu kwenye shauri hilo niliwashirikisha familia kua sitaki kuolewa lakini nataka kuzaa ilikua vuta nikuvute hatimae wakakubali,

Ninazaa sababu napenda watoto na umri unaniruhusu lakini sio nazaa ili nibadilike hivi nilivyo au niweke mwamvuli kwa jinsi nilivyo HAPANA,

SIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu

2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)

3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana

4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha

5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu

6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano

7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya

SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu

2. Lesbian

3. Ready kua Mama

4. Umri miaka 28

5. Nipo Dar es salaam

NB: Sio lazima uwe wewe Mwana Jf unaweza kua na Ndugu au Rafiki ukatuunganisha.

Mawasiliano yawe PM.

Natanguliza Shukrani.
Bila kuonesha sura yako huwezi pata man
 
Ngoja niweke nisome comments nichukue madini humu.
IMG-20220514-WA0008 (2).jpg
 
Wewe ni mbinafsi, unajiangalia wewe tu kufanikisha mambo yako ili uwe na wepesi wa kufanya mambo yako ya kilesbian bila mikwaruzo mingi kutoka kwa familia yako. Na hivyo haujali kabisa haki ya mtoto wako ya kumjua baba yake. Kwa ubinafsi wako utaathiri hata saikolojia ya akili ya mwanao kwa sababu naye atataka kujua baba yake alipo ila wewe utakuwa unampa jibu lisilo na mashiko.
Huwezi kujifanya eti unapenda watoto halafu mtoto wako mwenyewe unataka kumnyima haki ya kumjua baba yake. Shame on you!
Nimekuelewa Missile of the Nation, inawezekana kweli mimi ni mbinafsi lakini lengo langu hasa ni kumuondolea majukumu Mtu ambaye siwezi kua nae kwenye mahusiano na zaidi hatukupanga kuzaa kumbuka tutakua ni two strangers tunakutana kwa mission moja tu MIMBA, sasa hayo mengine ni vema nijicommit mwenyewe tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom