Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.
Umetufedhehesha sana sisi tuliozaliwa 1994
 
Uzuri wa haya mlesbian yakikolezwa na vidume konkii yanabadili gia hewani.Nna shoga alikua na itikadi kama hizi saivi ana watoto watatu na msimamo umebadilika.Ni suala la muda tu huyu bibie atabadilika.Btw usituchoshe kama unaeza lea mtoto mwenyewe kanunue mbegu hata hapo South Africa kuna hii huduma.Acha kusumbua vidume vyetu si hauna hisia nao?hiyo mimba itaingiaje na ushakomazwa kisi..m na dildo.Rubbish
 
Hatari kwa afya

πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎπŸƒπŸΎπŸƒπŸΎ
 
We mwanamke nakumiss
Nakutafuta kama shilingi ya Nyerere
 
Faida anayopata huyo mtu kuzaa na wewe ni nini?
 
Narudia Tena
"Ulesbian sio tatizo"

Alete matatizo mengine tutamsaidia,sio hilo
Boss kubwa unazingua.

Kama Ulesibian siyo tatizo, kwa nini eneo hilo ni dhambi?

Nasema.asaidiwe bana
 
Mmmh
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…