The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mkuu unafikiri huu ushauri ni mzuri kwa kiumbe kitakacho kuja kuzaliwa? vp mtoto akija kuuliza kuhusu Baba yake yuko wapi?sasa mimi nitafaidika na nini au ule utamu tu wakati tunagegedana?
nikupe mbinu ukitongozwa kubali kwa shart na kwenda kupima maradhi kwanza. Halafu ww binafsi weka mazingira yako ya kupata ujauzito. halafu ukiupata kata mawasiliano. na hata akijua simple tu unamwambia kuwa huu si ujauzito/mtoto wako.
😀😀😀😀Kwa kuwa yy kajiandaa, atakuwa na pingu, anakufanyia timing tuu!
🤣🤣 The Icebreaker unazingua....free offer hiyoSiwezi kufanya huo ujinga aisee,nimpe mimba kisha nisije kujua lolote kuhusu mtoto wangu? mtoto asije kumjua Baba yake? akija kukutana na Dada zake kwa Baba huko mitaani wakalana!
Hakuna mtu wakufanya huo upuuzi tena for free of charge.
Acha hii offer niwaachie wengine,nasubiri siku wewe ukitoa offer nitakua wa kwanza kufika.🤣🤣 The Icebreaker unazingua....free offer hiyo
🤣unaelekea kuchelewa mbona,nilitoa offer ya mtoto mmoja kuanzia next year ila masharti niliweka nijengewe nyumba hata room mbili.....afu wewe mbona nataka uje unichukue nije huko bhana🙄Acha hii offer niwaachie wengine,nasubiri siku wewe ukitoa offer nitakua wa kwanza kufika.
😀 😀
Duuh!...HIVI MNAELEWA ZUNGU NA MWIGULU WAMEWEKA TOZO NYINGINE YA SIM CARD/LAINI ZA SIMU??!
[emoji38][emoji1]kaka umeandika Kwa hisia sanaMwanaume mo
Pumbavu na asiyeelewa thamani ya damu yake ndio anaweza kukubali huu ujinga.
Uagonge mwanamke ili azae shoga mtarajiwa, yaani huyo mtoto mtarajiwa lazima awe shoga, nani anataka mtoto wake kuwa shoga. Labda awe hamnazo kichwani.
Sasa uje huku na Nyumba yako ya room mbili umuachie nani?🤣unaelekea kuchelewa mbona,nilitoa offer ya mtoto mmoja kuanzia next year ila masharti niliweka nijengewe nyumba hata room mbili.....afu wewe mbona nataka uje unichukue nije huko bhana🙄
Umenena vyema.Huwezi kujifanya eti unapenda watoto halafu mtoto wako mwenyewe unataka kumnyima haki ya kumjua baba yake.
Nimeshinda mchuano, kesho naanza chakata mbususu mchana na usikuBila shaka Ushapata mwongozo mamy!!
Seems anapitia posts zote humu, huenda akakufikiria mkuu😊😄😄😄 Kwanza ingekuwa hamna kuvaaa nguo mzee, tungerudi nae enzi za adam na eva.. hotel ningejitolea maana ili inoge huyo inabidi mchukue room yenye hadi ya raisi mtoto nampikia tu misosi ya kumpa nyege kila saaa, angejutia sana kuwa Lesbian.. Wiki moja tu angetangaza ndoa huyu.. Ila cha ajabu anaweza pata mzembe mzembe akampoteza kabisa
Hii comment nimeielewa sana.Sasa si uwakubalie wanaokutongoza huko duniani. Fanyeni mapenzi ukipata ujauzito usimwambie mlime kibuti kimya kimya.