Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.
Njoo pm mrembo tuyajenge fasta. Mwenyewe nahitaji kumpa mimba mwanamke
 
Ubini wangu, yawezekana nikataka mwingine kama changamoto za mimba hadi kuzaa zitakuwa tofauti na ninavyohadithiwa, wivu wa nini sasa mimi maisha yako sitahusika nayo na yangu usihusike nayo.
 
Wewe bora usizae tu!! Manake unaongea kwa misimamo ile ile ya kilesbian lesbian!! Kiufupi huwezi kutoka huko ulesbianini!! Huyo mtoto atakuwa either shoga au lesbobo mtarajiwa! Ni bora ukabaki hivyo hivyo na ulesbobo wako kuliko kumuingiza kiumbe asiye na hatia kwenye huo ulimwengu wenu!! Endelea tu kusuguana na wenzio, sio kila mwanamke anaweza kuwa mama!! Tulia huko huko kwenye ulimwengu wako!
 
Mimi niko poa kiafya sina shida miaka 32 na niko tayari ila kuna sharti moja ndo gumu tu, kama unaweza niwe naona picha zake basi karibu PM hata kama asipo mjua baba yake sawa.
 
Ahsante sana Kaka angu Mshana kwa ushauri mzuri wenye maneno ya busara na tone ya upole,
Najiombea sana na mimi jambo langu lifanikiwe lakini kama hutojali hata kwa PM unitajie hizo taasisi zinazouza mbegu niwatafute kama nitamudu gharama zao
 
Ubini wangu, yawezekana nikataka mwingine kama changamoto za mimba hadi kuzaa zitakua tofauti na ninavyohadithiwa, wivu wa nini sasa mimi maisha yako sitahusika nayo na yangu usihusike nayo
Asante.Mimi nakuongezea mbinu moja tu.Nenda kwenye mabenki ya mbegu za kiume ununue wakupandikize upate mtoto.Waonaje bibie?
 
Imenibidi nicheke hapo kwenye kuongea kwa misimamo ile ile ya kilesbian
 

Nadharia ya mtoto bila baba haipo. Ipo siku mtoto atadai baba yake. Ipo siku mama anaweza kubadili msimamo akamzukia baba.
Hujafa hujaumbika...ni kweli tuzidi kuombeana
 
Wewe ni mbinafsi, unajiangalia wewe tu kufanikisha mambo yako ili uwe na wepesi wa kufanya mambo yako ya kilesbian bila mikwaruzo mingi kutoka kwa familia yako.

Na hivyo haujali kabisa haki ya mtoto wako ya kumjua baba yake. Kwa ubinafsi wako utaathiri hata saikolojia ya akili ya mwanao kwa sababu naye atataka kujua baba yake alipo ila wewe utakuwa unampa jibu lisilo na mashiko.

Huwezi kujifanya eti unapenda watoto halafu mtoto wako mwenyewe unataka kumnyima haki ya kumjua baba yake. Shame on you!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…