Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Sikuona sehemu ambayo huyo mwanaume anafaidika nini sawa mtoto hamuhusu tena baada ya kuweka ujauzito ndio hata pesa akose?
Don't complain. Huyo akiwa sirias atapata humu humu. Hiv lile jotojoto pale mapajani mnaonaga Lina kasheshe ndogo?. Yeye kama anawajaribu watu tu mwambie tu "WANAUME HATUJARIBIWI"Mbona hueleweki? Huyo mwanaume anafaidika na nini kwako kwa kutumia muda wake kukutia mimba maana unasema baada ya tendo hutaki mjuane tena na wala hutoi malipo yoyote kwake. Kumbe unataka msaada lakini bado unaweka masharti meeeeengi? Kama hujitambui vile!!!!
Hahahahah ana kimashine chake nayeye anataka akurande kidogo😄😄😄 Lesbian hatari na nusu, linaweza leta pigo za sodoma.. Ukimaliza kulifanya nalo linaomba kufanya ndio hapa kuna kupasuana ngeu
Usiwe mbinafsi kwa kiwango hiki.Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,
Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia niolewe nizae,
Nimefata ushauri wa kuzaa lakini sikua peke yangu kwenye shauri hilo niliwashirikisha familia kua sitaki kuolewa lakini nataka kuzaa ilikua vuta nikuvute hatimae wakakubali,
Ninazaa sababu napenda watoto na umri unaniruhusu lakini sio nazaa ili nibadilike hivi nilivyo au niweke mwamvuli kwa jinsi nilivyo HAPANA,
SIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu
2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)
3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana
4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha
5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu
6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano
7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya
SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu
2. Lesbian
3. Ready kua Mama
4. Umri miaka 28
5. Nipo Dar es salaam
NB: Sio lazima uwe wewe Mwana Jf unaweza kua na Ndugu au Rafiki ukatuunganisha.
Mawasiliano yawe PM.
Natanguliza Shukrani.
Nitachomokea dirishani hata kama hotel ya ghorofa.. Ila acha nipambanie kombe hilo, nani asie taka mbususu ya buree anaonekana anajotooo sana huyu..Hahahahah ana kimashine chake nayeye anataka akurande kidogo
Tatizo lingine.View attachment 2370387
Nipe mimba ntalea Mwenyewe 😂😂😂,,,,Jichanganye sasa.
Namba zao sina wewe nenda hapo hapo MNH utaeleweshwa vizuri tu,ila tambua lazima uwe handsome boy mbegu zako utaziuza kwa faida ila ukiwa na sura ya mandonga mtu kazi unaweza kuambiwa 30000Nataka nipeleke mbegu wananunua shinngap?. Kwa nyeto ninazopiga Kwa siku bora nijiajirie tu. Nipe namba zao pm mkuu
Mshana Jr nakuaminia, chukua wewe hii kazi.Pole kwa yote uliyopitia Mariposa ni hatua nzuri uliyofikia.. Mimi nizidi tu kukuombea na kukutia moyo! Kuna baadhi ya taasisi wanauza mbegu hivyo unaweza kwenda huko!
Hofu yangu ni future ya mtoto atakayezaliwa..! Udogoni sio tatizo sana lakini kadiri atakavyokua hasa maisha ya shuleni akisikia wenzake wakisimulia kuhusu baba zao wakati yeye hana/hamjui anaweza kuathirika kisaikolojia na kutengeneza tatizo jipya
Kwa hatua ya kutaka kubeba mimba tena bila kupandikiza mbegu ni hatua nzuri sana kwakuwa inaweza kumaliza tatizo ulilonalo! Bila kutegemea wala kupanga mimba ikishatungwa hisia zinaweza kuanza kubadilika na kuanza kumhitaji mzazi mwenzako awe karibu nawe.. Mimba huja na mengi
Ikikutokea hivyo na huyo mzazi mwenza mtarajiwa akaku handle vema utakuwa umemaliza tatizo moja kwa moja.. Ila akizingua ndio basi tena
Yote kwa yote NAKUOMBEA
Mie namsubiria pm tuyajenge nimpe mimba basi najua dogo akiwa mkubwa atanitafuta tuuuTatizo lingine.
Eti nisiwe busy nikiendelea kumtafutia mtu mtoto wake na mimi sitakuwa na haki ya kumuona?
Mimi nafaidi nini?
Kusex na mtu asiye na hisia na mimi!!!
Labda hili ataliweza
mzabzab
Huyu kumbe anajitambua anaona umri unaenda halafu kuna hitaji la kuwa na family sasa tamaa imemzidi kama anaweza akawaza kupata mtoto kumbe hata hiyo tabia anaweza akaacha.Anataka kumuambukiza mtoto mambo ya ajabu.Wewe ni mbinafsi, unajiangalia wewe tu kufanikisha mambo yako ili uwe na wepesi wa kufanya mambo yako ya kilesbian bila mikwaruzo mingi kutoka kwa familia yako. Na hivyo haujali kabisa haki ya mtoto wako ya kumjua baba yake. Kwa ubinafsi wako utaathiri hata saikolojia ya akili ya mwanao kwa sababu naye atataka kujua baba yake alipo ila wewe utakuwa unampa jibu lisilo na mashiko.
Huwezi kujifanya eti unapenda watoto halafu mtoto wako mwenyewe unataka kumnyima haki ya kumjua baba yake. Shame on you!
huku mbinguni asituguse kabsa tunajilia vyetu taratbuSasa si uwakubalie wanaokutongoza huko duniani. Fanyeni mapenzi ukipata ujauzito usimwambie mlime kibuti kimya kimya.
Sasa unapatikanaje? Nakubaliana na hayo masharti yoteRejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,