Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.
Hakuna mwanaume mwenye akili timamu anaweza kukubali huo mpango wako labda umpate mwenye hitilafu kichwani anaweza kukubali coz hawezi kufikiria Madhara yake hapo baadae........Kigezo Cha mwenye akili timamu kiondoe coz hutampata mwenye AKILI TIMAMU
atakaetimiza hiyo ndoto yako.
 
wewe usitusemeewote,,,tupo wenye akili timamu tunaweza
 
Pole kwa yote uliyopitia Mariposa ni hatua nzuri uliyofikia.. Mimi nizidi tu kukuombea na kukutia moyo! Kuna baadhi ya taasisi wanauza mbegu hivyo unaweza kwenda huko!
Hofu yangu ni future ya mtoto atakayezaliwa..! Udogoni sio tatizo sana lakini kadiri atakavyokua hasa maisha ya shuleni akisikia wenzake wakisimulia kuhusu baba zao wakati yeye hana/hamjui anaweza kuathirika kisaikolojia na kutengeneza tatizo jipya

Kwa hatua ya kutaka kubeba mimba tena bila kupandikiza mbegu ni hatua nzuri sana kwakuwa inaweza kumaliza tatizo ulilonalo! Bila kutegemea wala kupanga mimba ikishatungwa hisia zinaweza kuanza kubadilika na kuanza kumhitaji mzazi mwenzako awe karibu nawe.. Mimba huja na mengi

Ikikutokea hivyo na huyo mzazi mwenza mtarajiwa akaku handle vema utakuwa umemaliza tatizo moja kwa moja.. Ila akizingua ndio basi tena

Yote kwa yote NAKUOMBEA
Kwani hauna mbegu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom