Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.
Kua mdada jrani ana miaka 24 mzuri hatareee ila ameamua kyshinda kwa kuhan musa kila siku yaan...kila anaedate nae anakufa..last alikuwa engn pale bandarini..yule jamaa alijua kabisa issue ya demu akaja na force ya kuoaaa weweee...akapeleka mzigo masaki kontena anaelekeza pa kushusha lisimdondokee alipo hata awakuaga...mdadq akomi ana kigoda kiko VODAA kakomaaa nae sema dis tym anasali kamaanasomea ukuhani....mwanaume wa 4 huyu anataka oa...shida usitangaze kuoa weeee.....

sasa huyu analia anataka timamu..kun mawili ana uhitaji ama.alishaumia na wehuu kadha..so unaweza kojoa akapata mimba ukaanza kuwa wehu..m nashauri aombe sana kama ana roho za kuoata wehu zimtoke kwanza else akija timamu kama didy analo ...
every spirit of .....ouuuuuuut n Jesus name
 
Why do you need chemistry kwa mtu ambaye mtakata mawasiliano baada ya mimba kuingia!?

Kwa mambo tunayofanya binadamu siku hizi I'll have to agree with the proposition that

The human society is not progressing as many think,

We're actually regressing!!
 
Acha bangi Piddy
 
Lingine
Mungu anakupa wa kufananae yaani kma ulivyooooooo.......namaanisha anatakiwa ajiangalie na yeye yuko kundi gani.......
Uwezi kuwa hauna utimamu Mungu akakupa mwanaumee timamu aimo hiooo

Kama timamu utapewa timamu mwenzio sio mm maandiko....mwisho nakutakia upate t8mamu kama mm sema niliyoyapitia yanatosha dunian naishia kutubu tu kila cku .tena ungenifuma enzi hixo yaan m damu natunza hata kama unafanya world bank nnwewe.. ntaokota maplastic natuma maziwa na mahitaji mengine
Pokea kama didyp n Jesus Name
 
Ukiendelea kutafuta soma hii sala uje nipa mrejeshooo..usipoelewa mchk pawpaw .
THE MOST POWERFUL HEALING PRAYER BY SAINT PADRE PIO.

Heavenly Father, I thank you for loving me.
I thank you for sending your Son, Our Lord Jesus Christ, to the world to save and to set me free. I trust in your power and grace that sustain and restore me. Loving Father, touch me now with your healing hands, for I believe that your will is for me to be well in mind, body,
soul and spirit.

Cover me with the most precious blood of your Son, our Lord Jesus Christ from the top of my head to the soles of my feet. Cast anything that should not be in me. Root out any unhealthy and abnormal cells. Open any blocked arteries or veins and rebuild and replenish any damaged areas.

Remove all inflammation and cleanse any infection by the power of Jesus’ precious blood. Let the fire of your healing love pass through my entire body to heal and make new any diseased areas so that my body will function the way you created it to function.
Touch also my mind and my emotion, even the deepest recesses of my heart.

Saturate my entire being with your presence, love, joy, and peace and draw me ever closer to you every moment of my life. And Father, fill me with your Holy Spirit and empower me to do your works so that my life will bring glory and honor to your holy name. I ask this in the name of the Lord Jesus Christ. Amen
St. Padre Pio, Pray for us.
 
Nikapime hospitali kisa kumridhisha lesbo? Halafu mtoto nisimuone. Hivi kumbe haya ma LGBT hayanaga akili timamu. Kwendra huko....
 
A

ASIWE BUSY WA KWAKO.MAMAA
TAFUTA WAKO MSHUGULIKIE HUMU.WANANDOA KIBAO WATAVUA PETE WASEME.SINGLE WAKUKOJOLEE KAMA NILIVYOFANYA UGANDA ILA NALEA..
Pole, ungesoma mrejesho kwanza kabla ya kupayuka hapa
 
Kuna changamoto jiandae nazo,mazoea hujenga tabia,ni rahisi sana mmoja wenu kumzoea mwenzake au kuja kupendana. Pia kwenye malezi ya mtoto usitegemee utamweka mtu mbali na damu yake kwa namna unayowaza wewe,attention itakuwepo tu,kwako,kwa mtoto,au kote.
Tutazingatia hilo,
Ahsante
 
Why do you need chemistry kwa mtu ambaye mtakata mawasiliano baada ya mimba kuingia!?

Kwa mambo tunayofanya binadamu siku hizi I'll have to agree with the proposition that

The human society is not progressing as many think,

We're actually regressing!!
Tukubaliane na mabadiliko ya ulimwengu,
Zamani tulijua mtoto anapatikana ikiwa Me na Ke wanakutana kimwili siku hizi sivyo mnaenda maabara unatolewa mazaga yenu mtoto anatotoleshwa kwenye chupa, (IVF)

Zamani tulijua mama mpaka abebe mimba azae, siku hizi sivyo tena, mama anaweza akatoa mazaga yake akamkabidhi mama mwingine ambebee mimba hadi kuzaa na yeye anabaki fresh (surrogate)

Zamani watu walikua wana haha na uzazi wa mpango kwa kua mama hayupo tayari kuzaa au aliowazaa wanatosha au anahitaji kupumzika na sasa mama anaweza kutoa mayai yake yakatunzwa maabara hadi siku atakayohitaji kuzaa atawekewa (Egg Freezing)
 
Fantasy zako dada ni hatari

Umekosa mwanaume wa kukupenda km ulivyo umeamua kutafuta uzae nae tu
 
MREJESHO:
Shukrani wadau mtu nimempata ila katoka nje ya JF kuna mtu nafanya nae kazi, aliniconnect na ndugu yake, tulipatana tangu december ila tukasubiri vurugu za mwisho wa mwaka zipite ndio tuanze zoezi letu la vipimo na sio muda zoezi lenyewe litaanza [emoji2960]

Huyu Kaka ana Akili timamu, ni daktari wa kina mama katika hospital fulani, hajaoa wala hana mchumba, tumeenda dates mbali mbali kwanza ananukia vizuri, hana mandevu, hanuki mdomo, ni bonge la gentleman, ametulia ila sio mpole kwa hiyo hatukosi story kila tukichat na tukipigiana simu, kuna chemistry ndani yetu which is good kwa tunachotaka kukifanya....

Amenikubali vile nilivyo, hana swaga za "nataka kukubadilisha", ananiheshimu sana, hofu yangu asije aka fall in love tu maana ana speed [emoji1]

MNAO TEXT NA KUCALL ACHENI MARA MOJA, KAZI IMESHAISHA TUSUBIRI MAJIBU TU.
Mrejeshooo mwingine linii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom