Nahitaji mwanaume wa kuzaa nae

Status
Not open for further replies.
Pole sana Dada,nimekuelewa vizuri sana,endelea kumtumainia Mungu,hawezi kukutupa,utapata tu hitaji la moyo wako,

Never give up,enjoy ur life,wala usihuzunike,hope one day utakua mtu mwenye furaha.

All the best Dada.
 
Unataftia mwanaume mtandaoni!!!!! Huko kwenu hamna wanaume?
 
Nimesoma kichwa cha habari tuu sina haja maelezo,,,Naomba Tuzae wote Abi Mamii
 
Ungeweza kumudu mahitaji ya mtoto kwa 50% ningeungan na wew
 
Mkuu naongea ninalolijua na kulishuhudia.
Tena hasa hawa vijana wa 2000 ndio kabisaa!
Wakitia mimba nduki.
Wewe itakuwa unaongelea vijana ambao ni jobless wa kizazi hiki ila hao pia sio wengi. Wanaume ambacho hawataki ni fling kuleta mtoto. Kama unataka mahusiano ya kuleta mtoto niweke wazi kabisa maana hatuwezi kuzaa zaa na kila mtu.
 
ndoman nilsema we mfupi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
likiwa refu akili hamna, huyo mtoto atakula uref wa baba ake? Tafta mwanaume mwenye akili anaejituma

Habari za ohhh mara mfupi mara nataka mwanaume mrefu handsome

Swali ni je? Wewe na mwanao mtakula huo urefu wake au uhandsome wake?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…