Nahitaji ushauri kwa mtaji wa 40 milionI

Bas ziingize kwenye account yangu mimi ndio nitaclear kila kitu, acha janja janja za nyani [emoji23][emoji23][emoji23]
Huna dalili ya kutoa mbususu wewe wacha nikomae hapa nipate wazo.
Kibanda cha chips vipi wakuuu?
 
Mdogoangu chukua ISUZU hio kafanyie kazi.

njoo inbox tufanye biashara
 

Attachments

  • Screenshot_20230702-111526_1.jpg
    40.5 KB · Views: 19
Dah tricky

Ungekuwa husomi ingekua rahisi zaidi

Vizuri ufanye kitu unacho jua relate hata na faculty yako
 
Huna dalili ya kutoa mbususu wewe wacha nikomae hapa nipate wazo.
Kibanda cha chips vipi wakuuu?

Wee lete pesa hizo, biashara unaenda kupoteza pesa na uhai!! Usije kusema hatujakwambia utakapoanza trip za JKCI [emoji23][emoji23][emoji23]
 
5 Milion, kwenye UTT atapata ngapi kwa Mwezi?
 
Miaka 20 kwa mazingira ya kiafrika, akili bado sana-chochote titakacho shauri hapa kitakuwa kama mbuzi kupigiwa gitaa maana hataweza kufanya maamuzi yoyote nanisitoshe bado anasoma.
Kaweka hiyo hela fixed deposit pale Bank ya Tanzania commercial bank kila mwezi utakuwa unapata kama 250K itakutosha kutimia shule.

Maana ukisema ufanye biashara bado una shule, supervision itakuwa changamoto kwako.
 
Angalia usipigwe dogo. Mjini kuna matapeli hatari
 
Mkuu 70K kwa mwezi ni 1,960,000?

Hizo pesa kama ni kweli utazipata ni heri ukatuliza akili kwanza

Nunua mchele

Kama utapata connection nzuri chukua mchele huu wa nje ya nchi wauzie wauza mchele kwa jumla unaeza anza kuzungusha 10m kadri unavyoenda unaongeza pesa

Mchele haukati pesa labda utapeliwe tu
Usimamizi wa mishe za mchele na masomo ya chuo itawezekana kweli kwenda kwa wakati mmoja?
 
Hili nalipokea kwa mikono miwili.. Asante sana
 
Wazo zuri Sana umempatia,na asisahau na bei ya madawa,Ila kama angeanza na ng'ombe 40 kwanza...
 
Mimi namshauri pesa yote aweke UTT mfuko wa bond fund.
Kwa mwezi atakuwa anapata gawio la Tsh 400,000/= au 390,000/= .kama Hana shida na pesa anaweza kuwa ana re-invest gawio lake, kuongeza dhamani ya uwekezaji wake. Au gawio analopata anaweza kufungua biashara nyingine ndogo Huku principal amount ikiwa salama kwa maisha yake yote duniani.
 
5 Milion , kwenye UTT atapata ngapi kwa Mwezi ?

UTT inamaana gani, kwa sababu hizi terminology za kibiashara sizijui mda mwingi nimekaa shule za bweni nikisoma sayansi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…