Nahitaji wahudumu mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote

Kwa hiyo asiweke wenye misambwand na sura nzuri
 
Kwa hiyo wanatengeneza na ku serve wao hao wenyewe?
Nina utaratibu wa kupanga zamu kwa wiki kwenye utengenezaji...

Wiki anayokuwa ndani hata serve...Wanaendelea kuhudumia wenzake kwa hiyo mzunguko ni hivyo hivyo...
 
Hongera sana mkuu panaonekana pako poa sana hapoo..
Samahani kwa kuvamia uzi.
Natafuta mdada pia kwa ajili ya biashara za miamala eneo ni mbezi mwisho.
Awe na mdhamini na taarifa za mdhamini pia.Mshahara ni makubaliano PM ipo wazi kabisa kwa mwenye kuweza kusaidia kufanikisha hilo.
 
Vipi mzee sie vidume sura pesono hutaki kutupa tenda hiyo
 
Mkuu yupo binti anahitaji kazi na ana kielim nadhan atajifunza haraka
 
Hakuna shida ondoa shaka na imani utapata unachohitaji...Bless up!
 
Kwa hiyo asiweke wenye misambwand na sura nzuri
Isiwe kigezo pekee! Nimesema wengi wanafanya kosa la kuchagua hiki kama kigezo pekee. Matokeo yake ni kuwa bar inapata wateja wengi miezi ya mwanzoni halafu baadae wanakimbia kwa sababu ya huduma mbovu. Halafu kwa taarifa: kutegemea hiki kigezo tu kunavutia wadada wezi na matapeli. Kuna bar nyingi tu nazijua ukikaa vibaya ni lazima upigwe chenji au uongezewe bai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…