Hero Radio
Member
- Jun 30, 2021
- 77
- 92
Habari wakuu!
Suala ni hili wakuu,
Nina online radio ambayo inasikilizwa kwa kiasi hapa nchini na zaidi ni nchi za nje kama Misri, Algeria, Germany, Finland, nk. Hali iliyopelekea watu wa nje wengi wanitafute kwa ajili ya kuomba airtime, hasa wasanii (nyimbo, interviews ).
Pia saivi niko mbioni kuanzisha online live tv ambayo nitaiweka kwenye ving'amuzi mbalimbali kama azam, zuku, dstv pamoja na cables za mikoa mbalimbali. Hivyo itatazamwa kama vile channel ya sinema zetu au azam two au itv kupitia visimbuzi hivyo.
Hii online tv ina uwezo wa kurusha matangazo ya live (on time) pamoja na recorded contents kama tu vituo vingine vya runinga bila minara, madish bali kwa computer zenye internet access kwa ubora ule ule.
Hii itasaidia kuingiza pesa nyingi sana pamoja na ajira nyingi iwapo wazo litafanikiwa.
Changamoto ni pesa za uwekezaji katika wazo hili.
Toka nijitambue nimetokea kupenda media na naamini kuwa maisha yangu yapo katika hii tasnia (nitatobolea huku) lakini misingi ya kiuchumi haijawa supportive kwa upande wangu.
Nimewahi pia kuunda fm transmitter na kurusha matangazo ndani ya kata 1 kwa miezi minne lakini nilisitisha maana nilitakiwa kusafiri kwa muda mrefu.
Nakuomba katika nafasi yako unisaidie kufanikisha haya maono kwa namna moja au nyingine.
Hii media itakuwa kubwa sanaaaa!!.
Point Kuu: Nakaribisha wawekezaji kwa hili wazo la tv na radio station yangu. Mashirika, taasisi, makampuni, watu binafsi, nk karibuni mezani tufanye kazi.
Pia nakukaribisha wewe kijana/binti unayependa media, uliye tayari kufanya kazi nami.
Mrejesho:
+255622 000 802 WhatsApp
heromediatanzania@gmail.com
Asante.
ALECO,
HERO RADIO
Sikiliza Radio: 👉HAPA