Naibu katibu mkuu TEC: Hata akija kiongozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibada

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Wakuu, TEC wapo serious si kidogo

Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania-TEC limetoa Limetoa mwongozo mpya kuwakumbusha Waamini taratibu na kanuni kwenye Ibada kanisani ambao unapiga marufuku wageni kuzungumza kanisani isipokuwa paroko/padri kama tukio ni la Kiparokia, Askofu wa Jimbo kama tukio ni la Kijimbo, Rais wa Baraza la Maaskofu-TEC kama tukio la kitaifa.

Viongozi hao katika ibada husika watatambua kwa ufupi uwepo wa wageni wa kidini, kiserikali na waalikwa wengine bila ya kuwapa nafasi ya kuongea, kutoa hotuba wala kusalimia. Zaidi Padri Chesco Msaga ambae ni Naibu Katibu Mkuu Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anasema hata angekuja kingozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibaada.

Pia soma Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno

IMG-20250621-WA0001.jpg
 
View attachment 3377707
mbona huo ni utaratibu wa kawaida tu ndugu zangu kwenye ibada za kanisa hilo lenye utamaduni moja wa ibada dunia nzima?

kipi kipya hapo anachojaribu kueleza naibu katibu mkuu wa TEC? Labda anakumbusha tu na kusisitiza utaratibu huo ambao siao mpya. hapakuwahi kua na nafasi ya salamu za viongozi katika kanisa katoliki.

Daima inafahamika,
mwisho au baada za ibada za kikatoliki ndipo viongozi hurusiwa kutoa matangazo ya kanisa, kutoa salamu za kawaida au za rambirambi kwenye mimbari ya kanisa n.k.

kimsingi kanisa katoliki wanajaribu kupiga marufuku utaratibu ambao haukuwahi kua sehemu ya utaratibu wa kanisa hilo.
 
Wakuu, TEC wapo serious si kidogo

Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania-TEC limetoa Limetoa mwongozo mpya kuwakumbusha Waamini taratibu na kanuni kwenye Ibada kanisani ambao unapiga marufuku wageni kuzungumza kanisani isipokuwa paroko/padri kama tukio ni la Kiparokia, Askofu wa Jimbo kama tukio ni la Kijimbo, Rais wa Baraza la Maaskofu-TEC kama tukio la kitaifa.

Viongozi hao katika ibada husika watatambua kwa ufupi uwepo wa wageni wa kidini, kiserikali na waalikwa wengine bila ya kuwapa nafasi ya kuongea, kutoa hotuba wala kusalimia. Zaidi Padri Chesco Msaga ambae ni Naibu Katibu Mkuu Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anasema hata angekuja kingozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibaada.

Pia soma Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno

View attachment 3377707
Hawacheki na Kima wakuu
No reform No Election
 
Back
Top Bottom