Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Safi sana TEC. Huu ndo mwendo. Wanasiasa hasa CCM wametuona Watanzania wajinga na mazwazwa sana.
Kweli kabisa, kama wamefunga kanisa la gwijiboy basi na wao marufuku kutumia madhababu kupiga kampuni... Tukutane viwanjani tu.... 😁Hii ndiyo maana ya kutochanganya dini na siasa, sina shaka na utekelezwaji wa waraka huu.
Lakini lingekuwa lile kanisa linaloongozwa na yule bwana aliyelelewa kutokuwa kinyume na serikali basi waraka huu usingetekelezwa katika dayosisi yake.
For the greater glory of God.Wakuu, TEC wapo serious si kidogo
Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania-TEC limetoa Limetoa mwongozo mpya kuwakumbusha Waamini taratibu na kanuni kwenye Ibada kanisani ambao unapiga marufuku wageni kuzungumza kanisani isipokuwa paroko/padri kama tukio ni la Kiparokia, Askofu wa Jimbo kama tukio ni la Kijimbo, Rais wa Baraza la Maaskofu-TEC kama tukio la kitaifa.
Viongozi hao katika ibada husika watatambua kwa ufupi uwepo wa wageni wa kidini, kiserikali na waalikwa wengine bila ya kuwapa nafasi ya kuongea, kutoa hotuba wala kusalimia. Zaidi Padri Chesco Msaga ambae ni Naibu Katibu Mkuu Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anasema hata angekuja kingozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibaada.
Pia soma Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno
View attachment 3377707
Daima inafahamika,
mwisho au baada za ibada za kikatoliki ndipo viongozi hurusiwa matangazo ya kanisa, kutoa salamu za kawaida au za rambirambi kwenye mimbari ya kakanisa.
Kama vile serikali ilivyokatqza viongozi wa dini kuzungumza siasa madhabahuni, sasa upanga unakata pande mbili, hakuna nyau wa kisiasa atazungumza madhabahuniWakuu, TEC wapo serious si kidogo
Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania-TEC limetoa Limetoa mwongozo mpya kuwakumbusha Waamini taratibu na kanuni kwenye Ibada kanisani ambao unapiga marufuku wageni kuzungumza kanisani isipokuwa paroko/padri kama tukio ni la Kiparokia, Askofu wa Jimbo kama tukio ni la Kijimbo, Rais wa Baraza la Maaskofu-TEC kama tukio la kitaifa.
Viongozi hao katika ibada husika watatambua kwa ufupi uwepo wa wageni wa kidini, kiserikali na waalikwa wengine bila ya kuwapa nafasi ya kuongea, kutoa hotuba wala kusalimia. Zaidi Padri Chesco Msaga ambae ni Naibu Katibu Mkuu Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anasema hata angekuja kingozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibaada.
Pia soma Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno
View attachment 3377707
in fact,Acha kupotosha wewe baada ya Matangazo atakayeruhusiwa kuongea ni kiongozi wa kidini tu na baada ya hapo ni kumaliza Misa Nendeni kwa Amani.
Hakutakuwa tena na kutoa salamu za kawaida au za rambirambi kwa kiongozi yeyote wa kisiasa kwenye mimbari ya kanisa

Kazi inanododa.....Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniaa.....................
Wewe unaona raha sana unaposikia binadamu wenzako wanatekwa na kuuawa? au na wewe ni walewaleHahaaa nakuombea utekwe....

. Jitafakari kijana, YOU CAN DO BETTERTulia dawa iingiembona huo ni utaratibu wa kawaida tu ndugu zangu kwenye ibada za kanisa hilo lenye utamaduni moja wa ibada dunia nzima?
kipi kipya hapo anachojaribu kueleza naibu katibu mkuu wa TEC? Labda anakumbusha tu na kusisitiza utaratibu huo ambao siao mpya. hapakuwahi kua na nafasi ya salamu za viongozi katika kanisa katoliki.
Daima inafahamika,
mwisho au baada za ibada za kikatoliki ndipo viongozi hurusiwa kutoa matangazo ya kanisa, kutoa salamu za kawaida au za rambirambi kwenye mimbari ya kanisa n.k.
kimsingi kanisa katoliki wanajaribu kupiga marufuku utaratibu ambao haukuwahi kua sehemu ya utaratibu wa kanisa hilo.

naona wananmyoosha kitima kiana ndio huwapanga akina myika mzee wa novena madhabauni na kuwatambulishaTulia dawa iingie![]()

Haya ni maamuzi makini, tuliyasubiri Siku nyingi. Asante viongozi wa TEC.Wakuu, TEC wapo serious si kidogo
Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania-TEC limetoa Limetoa mwongozo mpya kuwakumbusha Waamini taratibu na kanuni kwenye Ibada kanisani ambao unapiga marufuku wageni kuzungumza kanisani isipokuwa paroko/padri kama tukio ni la Kiparokia, Askofu wa Jimbo kama tukio ni la Kijimbo, Rais wa Baraza la Maaskofu-TEC kama tukio la kitaifa.
Viongozi hao katika ibada husika watatambua kwa ufupi uwepo wa wageni wa kidini, kiserikali na waalikwa wengine bila ya kuwapa nafasi ya kuongea, kutoa hotuba wala kusalimia. Zaidi Padri Chesco Msaga ambae ni Naibu Katibu Mkuu Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anasema hata angekuja kingozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibaada.
Pia soma Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno
View attachment 3377707
Wakuu, TEC wapo serious si kidogo

Safi sana ROMAN, hapo ndo ninapowakubali RCWakuu, TEC wapo serious si kidogo

Umeusoma waraka wote.mbona huo ni utaratibu wa kawaida tu ndugu zangu kwenye ibada za kanisa hilo lenye utamaduni moja wa ibada dunia nzima?
kipi kipya hapo anachojaribu kueleza naibu katibu mkuu wa TEC? Labda anakumbusha tu na kusisitiza utaratibu huo ambao siao mpya. hapakuwahi kua na nafasi ya salamu za viongozi katika kanisa katoliki.
Daima inafahamika,
mwisho au baada za ibada za kikatoliki ndipo viongozi hurusiwa kutoa matangazo ya kanisa, kutoa salamu za kawaida au za rambirambi kwenye mimbari ya kanisa n.k.
kimsingi kanisa katoliki wanajaribu kupiga marufuku utaratibu ambao haukuwahi kua sehemu ya utaratibu wa kanisa hilo.
kwani huo utaratibu unaorekebishwa ulikua ni uatamaduni wa kanisa au mazoea tu gentleman?Umeusoma waraka wote.
Kama mwanasiasa anatangazo, analiwasilisha kwa Padri, Padri ndio anatangaza.
Marufuku mwanasiasa kushika Mic ndani ya kanisa.