Naibu katibu mkuu TEC: Hata akija kiongozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibada

S
Wakuu, TEC wapo serious si kidogo

Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania-TEC limetoa Limetoa mwongozo mpya kuwakumbusha Waamini taratibu na kanuni kwenye Ibada kanisani ambao unapiga marufuku wageni kuzungumza kanisani isipokuwa paroko/padri kama tukio ni la Kiparokia, Askofu wa Jimbo kama tukio ni la Kijimbo, Rais wa Baraza la Maaskofu-TEC kama tukio la kitaifa.

Viongozi hao katika ibada husika watatambua kwa ufupi uwepo wa wageni wa kidini, kiserikali na waalikwa wengine bila ya kuwapa nafasi ya kuongea, kutoa hotuba wala kusalimia. Zaidi Padri Chesco Msaga ambae ni Naibu Katibu Mkuu Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anasema hata angekuja kingozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibaada.

Pia soma Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno

View attachment 3377707
Sisi KKKK tunajali sadaka na kula hela za waumini mengine hatutaki,sisi hela mbele
 
Mbona viongozi wanasiasa wa chadema leo wamepewa jukwaa pale kanisa la kurasini??? Ina maana gani??
 
Wakuu, TEC wapo serious si kidogo

Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania-TEC limetoa Limetoa mwongozo mpya kuwakumbusha Waamini taratibu na kanuni kwenye Ibada kanisani ambao unapiga marufuku wageni kuzungumza kanisani isipokuwa paroko/padri kama tukio ni la Kiparokia, Askofu wa Jimbo kama tukio ni la Kijimbo, Rais wa Baraza la Maaskofu-TEC kama tukio la kitaifa.

Viongozi hao katika ibada husika watatambua kwa ufupi uwepo wa wageni wa kidini, kiserikali na waalikwa wengine bila ya kuwapa nafasi ya kuongea, kutoa hotuba wala kusalimia. Zaidi Padri Chesco Msaga ambae ni Naibu Katibu Mkuu Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anasema hata angekuja kingozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibaada.

Pia soma Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno

View attachment 3377707
Siasa na dini vitengane kabisa.
 
Katoliki ndio wanajua leo?

Makanisa mengi tu mbona yana utaratibu huo miaka mingi tu

Cha msingi na katoliki wasigeuze hiyo ibada kuwa fursa ya kumsimanga kigogo aliyekuja kwenye ibada.Wasigeuze ibada ghafla kuwa kijiwe cha vijembe cha kusimanga mja ibadani .
Unawapangia Cha kusema, mna shida Gani nyie UVCCM..!?
 
kwani huo utaratibu unaorekebishwa ulikua ni uatamaduni wa kanisa au mazoea tu gentleman?

kwani kuna mwanasiasa aliewahi kumuomba parokao au askofu nafasi ya kuzungumza kanisani, kama sio unafiki tu wa kaniasa na kutafuta kiki? :pedroP:
Hakuna kupewa Mic, full stop.
Chuo cha unafiki na kiki kipo mitaa ya Lumumba.
 
mbona huo ni utaratibu wa kawaida tu ndugu zangu kwenye ibada za kanisa hilo lenye utamaduni moja wa ibada dunia nzima?

kipi kipya hapo anachojaribu kueleza naibu katibu mkuu wa TEC? Labda anakumbusha tu na kusisitiza utaratibu huo ambao siao mpya. hapakuwahi kua na nafasi ya salamu za viongozi katika kanisa katoliki.

Daima inafahamika,
mwisho au baada za ibada za kikatoliki ndipo viongozi hurusiwa kutoa matangazo ya kanisa, kutoa salamu za kawaida au za rambirambi kwenye mimbari ya kanisa n.k.

kimsingi kanisa katoliki wanajaribu kupiga marufuku utaratibu ambao haukuwahi kua sehemu ya utaratibu wa kanisa hilo.
Ushijafanya na wewe kuwa Katibu Wa TEC
 
Kenya hii ilishaanza kitambo sn, hakuna hata kupokea pesa kanisani za mwanasiasa yeyote hata km ni rais kwa lengo la kutoa msaada kanisani.
 
Kanisa la RC waga linajua ni muda gani na wapi lionyeshe ukubwa wake. 😀

Kuna kipindi enzi za JK, walitaka sijui kanisa lilipe ushuru sijui namna gani!
Kanisa likataka mali zake majengo, ambayo serekale inayatumia kuweka mataasisi yake zirudi. Dola ikaufyata mpaka leo. 😁
 
Back
Top Bottom