Naibu katibu mkuu TEC: Hata akija kiongozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibada

Naibu katibu mkuu TEC: Hata akija kiongozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibada

Njia rahisi ya kuutekeleza huo mwongozo ni kutokuwaalika. Sioni ni namna gani askofu atamzuia Rais, makamu wake au waziri mkuu kutoa neno ilhali amewaalika kwenye tukio la kanisa. Vinginevyo atakuwa amewaalika ili iweje? Matukio ya kikanisa yanaadhimishwa kwa ibada
 
Tutaona Kila aina ya hila mwaka huu........mpaka atakapopita na kuja wetu😄😄😄
Uzuri ni kwamba wengine wapo kwa uamuzi wa Mungu hivyo hata ujarobi kuweka kizingiti gani akwame wapiiiii, atafanikiwa tu.
 
Hili linashangaza kidogo kwa vile tangiapo si kawaida kumkuta Mgeni au hata Mwamini akihutubia. Nyerere na Magufuli Kanisa Lai St Peter's lakini sikumbuki kuwaona wakihutubia. HataRais Samia mara nyingi anakaribushwa lakini hukaavkwa staha bila kungangania ahutubie. Labda KKKT hasa Moshi enzi za Askofu Kweka hata waraka wa Christmas wa CHADEMA ulisomwa Kanisani. Majuzi tu tuliona Kijana Soka akikemea utekaji kutoka madhabahuni KKKT. Mfani mbaya zaidi ni Askofu Bagonza mumilki wa Kanisa lake la KKKT Karagwe mpakani na Rwandaburundi- yeye badala ya kusoma Agano Kipya au la zamani yeye ni kada wa CHADEMA zaidi ninkutaka tumehuru na kumtetea Mdude CHADEMA wa Makambako wala si Yesu waNazareti. Kuna wakati CHADEMA walizunguluka makanisa yote kuomba Mbowe kesi ya uhaini walipofika Roman Waumini wakawakamata na Polisi. Ila Kuna makafa wa CHADEMA kama Padri Kitime waliruhusu Tuundu na Nchimbi na Mnyika kuhutubia Msimbazi Centre na Zitto Kabwe kuhutubia madhabahuni mazishi ya Mzee wa Kihutu Ndugu yake Ksbendera Chang'ombe yule wa a aliyeshitakiwa uhujumu. Hapa nadhani walengwa ni CHADEMA na Padri Kitima.
 
Kweli kabisa, kama wamefunga kanisa la gwijiboy basi na wao marufuku kutumia madhababu kupiga kampuni... Tukutane viwanjani tu.... 😁

Ila Kuna yule wa kkt sijui ataelewa hili🤔
Sio rahisi anaonekana kabisa ni mtu wao yule
 
Wakuu, TEC wapo serious si kidogo

Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania-TEC limetoa Limetoa mwongozo mpya kuwakumbusha Waamini taratibu na kanuni kwenye Ibada kanisani ambao unapiga marufuku wageni kuzungumza kanisani isipokuwa paroko/padri kama tukio ni la Kiparokia, Askofu wa Jimbo kama tukio ni la Kijimbo, Rais wa Baraza la Maaskofu-TEC kama tukio la kitaifa.

Viongozi hao katika ibada husika watatambua kwa ufupi uwepo wa wageni wa kidini, kiserikali na waalikwa wengine bila ya kuwapa nafasi ya kuongea, kutoa hotuba wala kusalimia. Zaidi Padri Chesco Msaga ambae ni Naibu Katibu Mkuu Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anasema hata angekuja kingozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibaada.

Pia soma Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno


View attachment 3377707
Wamechukua maamuzi sahihi kabisa. Hakuna kitu walikosea hilo kanisa kama kumuacha Magufuli kugeuza uwanja wa kupigia siasa huku akijifanya mwema.
 
Katoliki ndio wanajua leo?

Makanisa mengi tu mbona yana utaratibu huo miaka mingi tu

Cha msingi na katoliki wasigeuze hiyo ibada kuwa fursa ya kumsimanga kigogo aliyekuja kwenye ibada.Wasigeuze ibada ghafla kuwa kijiwe cha vijembe cha kusimanga mja ibadani .
Vipi kuhusu kukemea maovu yake?
 
Katoliki wako sahihi kwa hili hongera sana. Nawapongeza kwa dhati kabisa kwa kipengele hicho mia kwa mia lakini na wao pia wajiepushe kuongelea mambo ya siasa kanisani ibadani

Wengi huenda kanisani wana mizigo mbalimbali rohoni wahitajio pumziko la Kiroho kama Yesu alivyosema njooni kwangu msumbukao na mizigo nami nitawapumzisha.Kanisa linatakuwa kuwa sehemu ya pumziko la kiroho sio kuongeza mizigo juu ya mizigo



Kanisani kuna waumini wa vyama vyote vya siasa na wasio na vyama .Pawe mahali pa kuabudu Mungu na kuondoka .Siasa zifanywe nje ya kanisa huko .Nje ya altare au madhabahu. Madhabahu na altare zipewe heshima zake
Kanisani hawatahubiri siasa, bali watazungumzia haki. Hivyo jitahidi usije kushindwa kutofautisha haki na siasa.
 
mbona huo ni utaratibu wa kawaida tu ndugu zangu kwenye ibada za kanisa hilo lenye utamaduni moja wa ibada dunia nzima?

kipi kipya hapo anachojaribu kueleza naibu katibu mkuu wa TEC? Labda anakumbusha tu na kusisitiza utaratibu huo ambao siao mpya. hapakuwahi kua na nafasi ya salamu za viongozi katika kanisa katoliki.

Daima inafahamika,
mwisho au baada za ibada za kikatoliki ndipo viongozi hurusiwa kutoa matangazo ya kanisa, kutoa salamu za kawaida au za rambirambi kwenye mimbari ya kanisa n.k.

kimsingi kanisa katoliki wanajaribu kupiga marufuku utaratibu ambao haukuwahi kua sehemu ya utaratibu wa kanisa hilo.
Wakati Magufuli anafanya siasa kanisani ulikuwa hujaletwa hapa jf kuleta siasa za uchawa.
 
Wakati Magufuli anafanya siasa kanisani ulikuwa hujaletwa hapa jf kuleta siasa za uchawa.
kwani Kitima alipowafungia lisu na Mbowe kisirisiri pale parokia ya msimbazi center ilikua ni kipaimara?

au huyo huyo Kitima alipowasimamisha mbele ya madhabahu akina MYIKA, nchimbi na lisu kwenye ibada ya kongamano la Ekaristi pale Taifa ilikua ni maungamo sio siasa right?🐒
 
Hakuna kupewa Mic, full stop.
Chuo cha unafiki na kiki kipo mitaa ya Lumumba.
yaani utengeneze tatizo kisha ulitatue mwenyewe halafu utake ushujaa, hiyo ni nonsense na unafiki wa kiwango cha juu mno gentleman 🐒
 
Wakuu, TEC wapo serious si kidogo

Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania-TEC limetoa Limetoa mwongozo mpya kuwakumbusha Waamini taratibu na kanuni kwenye Ibada kanisani ambao unapiga marufuku wageni kuzungumza kanisani isipokuwa paroko/padri kama tukio ni la Kiparokia, Askofu wa Jimbo kama tukio ni la Kijimbo, Rais wa Baraza la Maaskofu-TEC kama tukio la kitaifa.

Viongozi hao katika ibada husika watatambua kwa ufupi uwepo wa wageni wa kidini, kiserikali na waalikwa wengine bila ya kuwapa nafasi ya kuongea, kutoa hotuba wala kusalimia. Zaidi Padri Chesco Msaga ambae ni Naibu Katibu Mkuu Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anasema hata angekuja kingozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibaada.

Pia soma Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno


View attachment 3377707
Ili viongozi wa siasa wasifanye siasa kwenye makanisa
 
Hii ndiyo maana ya kutochanganya dini na siasa, sina shaka na utekelezwaji wa waraka huu.
Lakini lingekuwa lile kanisa linaloongozwa na yule bwana aliyelelewa kutokuwa kinyume na serikali basi waraka huu usingetekelezwa katika dayosisi yake.
🤣 🤣 🤣
 
Wakuu, TEC wapo serious si kidogo

Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania-TEC limetoa Limetoa mwongozo mpya kuwakumbusha Waamini taratibu na kanuni kwenye Ibada kanisani ambao unapiga marufuku wageni kuzungumza kanisani isipokuwa paroko/padri kama tukio ni la Kiparokia, Askofu wa Jimbo kama tukio ni la Kijimbo, Rais wa Baraza la Maaskofu-TEC kama tukio la kitaifa.

Viongozi hao katika ibada husika watatambua kwa ufupi uwepo wa wageni wa kidini, kiserikali na waalikwa wengine bila ya kuwapa nafasi ya kuongea, kutoa hotuba wala kusalimia. Zaidi Padri Chesco Msaga ambae ni Naibu Katibu Mkuu Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anasema hata angekuja kingozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibaada.

Pia soma Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno


View attachment 3377707
Mdogo mdogo, kunaanza kukucha. Shekhe Yahaya prophecy loading........ Sie macho tu!!!
 
Tutaona Kila aina ya hila mwaka huu........mpaka atakapopita na kuja wetu😄😄😄
Uzuri ni kwamba wengine wapo kwa uamuzi wa Mungu hivyo hata ujarobi kuweka kizingiti gani akwame wapiiiii, atafanikiwa tu.
Achana na mitazamo hasi.
 
mbona huo ni utaratibu wa kawaida tu ndugu zangu kwenye ibada za kanisa hilo lenye utamaduni moja wa ibada dunia nzima?

kipi kipya hapo anachojaribu kueleza naibu katibu mkuu wa TEC? Labda anakumbusha tu na kusisitiza utaratibu huo ambao siao mpya. hapakuwahi kua na nafasi ya salamu za viongozi katika kanisa katoliki.

Daima inafahamika,
mwisho au baada za ibada za kikatoliki ndipo viongozi hurusiwa kutoa matangazo ya kanisa, kutoa salamu za kawaida au za rambirambi kwenye mimbari ya kanisa n.k.

kimsingi kanisa katoliki wanajaribu kupiga marufuku utaratibu ambao haukuwahi kua sehemu ya utaratibu wa kanisa hilo.
Mkuu inaelekea hujaangalia adhari hasi ya muongozo huu kwa wagombea wa ubunge madiwani ambao by percentage wa RC ni wengi.

Hiki ni kitanzi kwa wagombea, na kitakaba kuanzia kwenye Jumuiya hadi kwenye sanduku la kura.

Mkuu kwenye uchaguzi wa mwaka huu wa 2025 kutakuwa na kura za aina mbili; Kura ya watanganyika na kura ya waroma!!

Shekhe Yahaya prophecy loading.....SYPL
 
Back
Top Bottom