Naibu katibu mkuu TEC: Hata akija kiongozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibada

Naibu katibu mkuu TEC: Hata akija kiongozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibada

TEC kuna namna fulani wanapenda Kujiona special sana, Wanahisi Bila Influence yao nchi haitaenda!! Wanatamani Inclusion na influence yao iwe honored sana

Hawa jamaa wakishaona mtawala ni Upande wa Pili tu Chokochoko huwa haziishi kabisa

Tujiulize je wangetoa huo walaka kama Magufuli angekuwa kwenye Power? Au Mkatoliki yoyote ndio angekuwa Mkuu nchi?

Wanafanya ivi kwa kuwa mtawala ni Muislamu.
Tumeshuhudia JPM akiwananga Political rivals wake pale St Peter's kwenye Podium yao Na wao waliona ni sawa tu

Fikisheni message kwao kuwa we are very strong than ever.
The country will go well without influence yao.
Ukisikia ubagizi wa kidini ndiyo huu unaofanywa na TEC.Wakristu wenzangu tuwe macho.Mimi siikubali CCM lakini kwa hili siyo sawa
 
Tutaona Kila aina ya hila mwaka huu........mpaka atakapopita na kuja wetu😄😄😄
Uzuri ni kwamba wengine wapo kwa uamuzi wa Mungu hivyo hata ujarobi kuweka kizingiti gani akwame wapiiiii, atafanikiwa tu.
Damu za Soka, kibao, mdude na wengine wengi zitamlilia mpaka kaburini. Kiongozi chaguo la Mungu hawezi kuuza Rasilimali za nchi kwa waarabu.
 
TEC kuna namna fulani wanapenda Kujiona special sana, Wanahisi Bila Influence yao nchi haitaenda!! Wanatamani Inclusion na influence yao iwe honored sana

Hawa jamaa wakishaona mtawala ni Upande wa Pili tu Chokochoko huwa haziishi kabisa

Tujiulize je wangetoa huo walaka kama Magufuli angekuwa kwenye Power? Au Mkatoliki yoyote ndio angekuwa Mkuu nchi?

Wanafanya ivi kwa kuwa mtawala ni Muislamu.
Tumeshuhudia JPM akiwananga Political rivals wake pale St Peter's kwenye Podium yao Na wao waliona ni sawa tu

Fikisheni message kwao kuwa we are very strong than ever.
The country will go well without influence yao.
Kwani wamesema wanataka influence au wameweka tu utaratibu. Mbona kama mnaweweseka sana, si mmeshasema dini isichanganywe na siasa?
 
Moja takatifu katoliki la mitume.
Bendera chuma mlingoti chuma hakuna kuyumba
 
Ukisikia ubagizi wa kidini ndiyo huu unaofanywa na TEC.Wakristu wenzangu tuwe macho.Mimi siikubali CCM lakini kwa hili siyo sawa
Tec wamekuwa Political contractors hatujui ata adhima yao ni nini? Kama ni issue ya watu kupotea mbona kipindi cha Mkatoliki Mwezao JPM walikuwa kimya na walitoa viwalaka vya kawaida tu kukemea leo kila askofu anakuambia sijui nilikimbizwa nkataka kutekwa yani mtu anaongea with no vivid evidence

Hawa jamaa wana agenda yao ya kutaka kuharibu amani ya Taifa letu pamoja na Chuki zetu kwa CCM lakini kwa ili hapana tusiwape nafasi kabisa hawa Maskofu wachache
 
Watanzania watashinda sababu Mungu yu pamoja nao.......vikundi vyenye hila vyote atavifyekelea mbali. Najua wanatembeleana Sasa katika kuungana Ili 'kueneza na kutimiza' ajenda yao lakini amini uzoamini watashindwa tena na tena. Tanzania itasimama inara kabisa.
Watashinda na kufanikiwa kuiondosha Serikali inayonyonya damu za watu. Tunafunga kwa ajili ya kuombea haki na amani katika taifa letu, nakazia tena, haki kwanza then amani ndo inafuata. CCM wanajua hawatendi haki ndo maana kwenye majukwaa wanakazana kuhubiri amani wakati wanajua amani haipatikani bila haki.
 
Kwani wamesema wanataka influence au wameweka tu utaratibu. Mbona kama mnaweweseka sana, si mmeshasema dini isichanganywe na siasa?
Huo utaratibu leo ndio wanashtuka? Ngosha wakati anarusha Vijembe pale St Peter's walikuwa hawaoni kama ni shida?
 
Live hakuna kuchanganga dini na siasa Wala kanisani si mahala pa kampeni , mana Yuko watu wenye itikadi tofauti
 
Wakuu, TEC wapo serious si kidogo

Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania-TEC limetoa Limetoa mwongozo mpya kuwakumbusha Waamini taratibu na kanuni kwenye Ibada kanisani ambao unapiga marufuku wageni kuzungumza kanisani isipokuwa paroko/padri kama tukio ni la Kiparokia, Askofu wa Jimbo kama tukio ni la Kijimbo, Rais wa Baraza la Maaskofu-TEC kama tukio la kitaifa.

Viongozi hao katika ibada husika watatambua kwa ufupi uwepo wa wageni wa kidini, kiserikali na waalikwa wengine bila ya kuwapa nafasi ya kuongea, kutoa hotuba wala kusalimia. Zaidi Padri Chesco Msaga ambae ni Naibu Katibu Mkuu Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anasema hata angekuja kingozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibaada.

Pia soma Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno


View attachment 3377707
HIvi likijaza kabisa kanisa Katoliki linakuwaga na waumini wangapi
 
Limama linateka watu halafu kesho linasimama madhabahuni.
 
Back
Top Bottom