Naibu katibu mkuu TEC: Hata akija kiongozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibada

Naibu katibu mkuu TEC: Hata akija kiongozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibada

Ukombizi wa Tanganyika unakaribia, hii "ndoa' ya DINi na SIASA inaelekeea kuvunjika, ingawa mama sasa anakimbilia kwa machifu wa kimila. Ameona aurejeshe uchifu wa makabila ambao Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere aliukataa ili kuondoa viashiria vyote vya kuvunja umoja wa taifa tokea mwanzo kabisa. Nyerere aliukataa uchifu ili kuondoa nguvu za ukabila. Alitambua hatari ya ukabila lakini kwa mshangao huyu Chifu Hangaya anaurudisha kwa nguvu ili kutafuta kura huko.
 
Mkuu inaelekea hujaangalia adhari hasi ya muongozo huu kwa wagombea wa ubunge madiwani ambao by percentage wa RC ni wengi.

Hiki ni kitanzi kwa wagombea, na kitakaba kuanzia kwenye Jumuiya hadi kwenye sanduku la kura.

Mkuu kwenye uchaguzi wa mwaka huu wa 2025 kutakuwa na kura za aina mbili; Kura ya watanganyika na kura ya waroma!!

Shekhe Yahaya prophecy loading.....SYPL
Watanzania watashinda sababu Mungu yu pamoja nao.......vikundi vyenye hila vyote atavifyekelea mbali. Najua wanatembeleana Sasa katika kuungana Ili 'kueneza na kutimiza' ajenda yao lakini amini uzoamini watashindwa tena na tena. Tanzania itasimama inara kabisa.
 
Ukombizi wa Tanganyika unakaribia, hii "ndoa' ya DINi na SIASA inaelekeea kuvunjika, ingawa mama sasa anakimbilia kwa machifu wa kimila. Ameona aurejeshe uchifu wa makabila ambao Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere aliukataa ili kuondoa viashiria vyote vya kuvunja umoja wa taifa tokea mwanzo kabisa. Nyerere aliukataa uchifu ili kuondoa nguvu za ukabila. Alitambua hatari ya ukabila lakini kwa mshangao huyu Chifu Hangaya anaurudisha kwa nguvu ili kutafuta kura huko.
Dah, we jamaa ni punga kabisa. Unakumbuka kuwa Samia ni Chifu Hangaya?!!!! Alipewa mwaka gani?!!! Usiwe mpumbavu basi.
 
mbona huo ni utaratibu wa kawaida tu ndugu zangu kwenye ibada za kanisa hilo lenye utamaduni moja wa ibada dunia nzima?

kipi kipya hapo anachojaribu kueleza naibu katibu mkuu wa TEC? Labda anakumbusha tu na kusisitiza utaratibu huo ambao siao mpya. hapakuwahi kua na nafasi ya salamu za viongozi katika kanisa katoliki.

Daima inafahamika,
mwisho au baada za ibada za kikatoliki ndipo viongozi hurusiwa kutoa matangazo ya kanisa, kutoa salamu za kawaida au za rambirambi kwenye mimbari ya kanisa n.k.

kimsingi kanisa katoliki wanajaribu kupiga marufuku utaratibu ambao haukuwahi kua sehemu ya utaratibu wa kanisa hilo.
We nae tumekuzoea muhimu tambua tu kuwa ni marufuku kuanzia jumapili hii
 
Wale wanabebaga na familia nzima yote inasimama madhabahuni....mmewazoesha wenyew lakn, tutaona tu matokeo
 
Kweli kabisa, kama wamefunga kanisa la gwijiboy basi na wao marufuku kutumia madhababu kupiga kampuni... Tukutane viwanjani tu.... 😁

Ila Kuna yule wa kkt sijui ataelewa hili🤔
haisaidii. chochote
 
Mfano Tulia akson alikuwa alipewa nafasi anaanza kumtetea Chura Kiziwi na kuwataka watu waione serikali kama mungu! ana vihotuba vya kijinga madhabahuni
 
Haya na sisi tumekubali msituruhusu tutoe salama. Na nyie sasa hivi c hamtaongea Tena siasa kanisani?
 
Wakuu, TEC wapo serious si kidogo

Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania-TEC limetoa Limetoa mwongozo mpya kuwakumbusha Waamini taratibu na kanuni kwenye Ibada kanisani ambao unapiga marufuku wageni kuzungumza kanisani isipokuwa paroko/padri kama tukio ni la Kiparokia, Askofu wa Jimbo kama tukio ni la Kijimbo, Rais wa Baraza la Maaskofu-TEC kama tukio la kitaifa.

Viongozi hao katika ibada husika watatambua kwa ufupi uwepo wa wageni wa kidini, kiserikali na waalikwa wengine bila ya kuwapa nafasi ya kuongea, kutoa hotuba wala kusalimia. Zaidi Padri Chesco Msaga ambae ni Naibu Katibu Mkuu Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anasema hata angekuja kingozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibaada.

Pia soma Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno


View attachment 3377707
Mlikuwa mnawakaribisha wenyewe hao wanasiasa au viongozi na wao wanatumia fursa.
 
yaani utengeneze tatizo kisha ulitatue mwenyewe halafu utake ushujaa, hiyo ni nonsense na unafiki wa kiwango cha juu mno gentleman 🐒
Kanisa ni nyumba ya MUNGU ambapo hukutana na Watoto wake. Miongoni mwao ni viongozi wa Kidunia ambao tunaamini mamlaka zote zinapata baraka ya MUNGU (Warumi 13: 1-2).
Lakini mamlaka tuliyonayo IMEASI na imeangukia mikononi mwa shetani. Shetani kwake ni kuzimu sio kweye nyumba za Ibada.
 
SAsa mfano wakati wa mazishi ya kitaifa na uyo aliekufa may be alikua mkatoliki na pale huwa wanashare kanisa na serikali itakuwaje???
Mazishi Huwa Yana ratiba, kwanza watafanya mambo mengine yote ya kidunia kabla ya Misa takatifu. Itakapoanza tu Misa takatifu hakuna kenge yeyote wa kisiasa ataruhusiwa kusema kitu mpaka mzigo unaingia Kaburini, baada ya kufukia na mashada kuwekwa Padre atamaliza kwa Sala ya Tunakimbilia...
Baada ya hapo ruksa kwa Kenge kusema lolote, kwani Misa Takatifu itakuwa imekwisha.
 
Wakuu, TEC wapo serious si kidogo

Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania-TEC limetoa Limetoa mwongozo mpya kuwakumbusha Waamini taratibu na kanuni kwenye Ibada kanisani ambao unapiga marufuku wageni kuzungumza kanisani isipokuwa paroko/padri kama tukio ni la Kiparokia, Askofu wa Jimbo kama tukio ni la Kijimbo, Rais wa Baraza la Maaskofu-TEC kama tukio la kitaifa.

Viongozi hao katika ibada husika watatambua kwa ufupi uwepo wa wageni wa kidini, kiserikali na waalikwa wengine bila ya kuwapa nafasi ya kuongea, kutoa hotuba wala kusalimia. Zaidi Padri Chesco Msaga ambae ni Naibu Katibu Mkuu Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anasema hata angekuja kingozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibaada.

Pia soma Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno


View attachment 3377707
Hahahahaah.mlichelewa sana.kanisani ni sehemu ya ibada siyo sehemu ya siasa!! Kanisani au msikitini ni sehemu takatifu!! Anayeruhusiwa kuongea ni yule mwenye kufundisha kanisa au waumini kuhusu kumcha Mola!! Sasa tumefanya kanisani na msikitini sehemu ya kufanya kibiashara na kushabikia siasa.

Sisi kanisa na msikitini tubaki kuiombea serikali na viongozi wengine Ili nchi iwe salama bila kuwa naushabiki wa kisiasa.ile kusema eti waumini nao ni wanasiasa basi tujenge majukwaa nche ya kanisa tuanze kushabikia siasa
 
Ni aibu sana kumpa mwanasiasa madhabahu halafu aitumie kusema viongozi wengine wa dini sio wa Mungu bali wa shetani.

Hongera sana kwa Kanisa Katoliki.
​
 
TEC kuna namna fulani wanapenda Kujiona special sana, Wanahisi Bila Influence yao nchi haitaenda!! Wanatamani Inclusion na influence yao iwe honored sana

Hawa jamaa wakishaona mtawala ni Upande wa Pili tu Chokochoko huwa haziishi kabisa

Tujiulize je wangetoa huo walaka kama Magufuli angekuwa kwenye Power? Au Mkatoliki yoyote ndio angekuwa Mkuu nchi?

Wanafanya ivi kwa kuwa mtawala ni Muislamu.
Tumeshuhudia JPM akiwananga Political rivals wake pale St Peter's kwenye Podium yao Na wao waliona ni sawa tu

Fikisheni message kwao kuwa we are very strong than ever.
The country will go well without influence yao.
 
Back
Top Bottom