Man fila ndu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2023
- 903
- 732
Uliuanzisha wewezingatia maelezo na kisha waelezee wadau bila kumbwelambwela, huo utaratibu aliuanzisha nani ndani ya kanisa hilo kongwe?š
Uliuanzisha wewezingatia maelezo na kisha waelezee wadau bila kumbwelambwela, huo utaratibu aliuanzisha nani ndani ya kanisa hilo kongwe?š
nakumbuka bashite kipindi kiburi chake kipo kwenye peak, alitaka kulazimisha kuongea kanisani mbele ya askofu shooo. shoo alisema "mwambieni hapa ni kanisani". dogo alikuwa na kiburi cha kifutu.Wakuu, TEC wapo serious si kidogo
Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania-TEC limetoa Limetoa mwongozo mpya kuwakumbusha Waamini taratibu na kanuni kwenye Ibada kanisani ambao unapiga marufuku wageni kuzungumza kanisani isipokuwa paroko/padri kama tukio ni la Kiparokia, Askofu wa Jimbo kama tukio ni la Kijimbo, Rais wa Baraza la Maaskofu-TEC kama tukio la kitaifa.
Viongozi hao katika ibada husika watatambua kwa ufupi uwepo wa wageni wa kidini, kiserikali na waalikwa wengine bila ya kuwapa nafasi ya kuongea, kutoa hotuba wala kusalimia. Zaidi Padri Chesco Msaga ambae ni Naibu Katibu Mkuu Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anasema hata angekuja kingozi kutoka wapi, hataruhusiwa kuzungumza wakati wa ibaada.
Pia soma Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno
View attachment 3377707
Kwanini mnalazimisha wana siasa kuongea kanisani sio unakuja unasali unasepa kila mtu akitaka kuongea madhabauni ilo itakua kanisa au kilabu cha pombeUkisikia ubagizi wa kidini ndiyo huu unaofanywa na TEC.Wakristu wenzangu tuwe macho.Mimi siikubali CCM lakini kwa hili siyo sawa
Hata kwenye shughuli zao hakuna haja ya kuwaombea . Wajiombee wenyewePigaa spana za vichwaaaaa
Hivi unajua mwanaume bila mke anavyokuwaga???TEC kuna namna fulani wanapenda Kujiona special sana, Wanahisi Bila Influence yao nchi haitaenda!! Wanatamani Inclusion na influence yao iwe honored sana
Hawa jamaa wakishaona mtawala ni Upande wa Pili tu Chokochoko huwa haziishi kabisa
Tujiulize je wangetoa huo walaka kama Magufuli angekuwa kwenye Power? Au Mkatoliki yoyote ndio angekuwa Mkuu nchi?
Wanafanya ivi kwa kuwa mtawala ni Muislamu.
Tumeshuhudia JPM akiwananga Political rivals wake pale St Peter's kwenye Podium yao Na wao waliona ni sawa tu
Fikisheni message kwao kuwa we are very strong than ever.
The country will go well without influence yao.
Wenyewe wanakemea ushetani tu kama kuiba kura, utekaji nk. Sasa kama kekemea maovu ni kumsimanga mtu, watasimangwa sanaKatoliki ndio wanajua leo?
Makanisa mengi tu mbona yana utaratibu huo miaka mingi tu
Cha msingi na katoliki wasigeuze hiyo ibada kuwa fursa ya kumsimanga kigogo aliyekuja kwenye ibada.Wasigeuze ibada ghafla kuwa kijiwe cha vijembe cha kusimanga mja ibadani .