Naibu Waziri Abdallah Sagini: Mto Mara hauna sumu, endeleeni kutumia maji

Kama maji yana shida kubwa madhara yake yanaweza kuonekana hata baada ya miaka 3, 5, 10 na kuendelea.

Hayo ni majibu mepesi sana kwa jambo linalohusu uhai na afya za watu.
 
Si alikuwa hapo hapo mtoni angeonyesha mfano wa kuchukua kikombe kuchota maji na kunywa kwanza.
 
mlio kuwa mnaeneza uongo + uzushi wa 'sumu' ndani ya mto mara mlicho kosea ni kutokuwa na data, kwanza mlipaswa kutengeneza data za uongo ndiyo muutie hatiani mgodi wa north mara, siku nyingine jifunzeni namna nzuri ya kutengeneza fitan / figisu figisu..
 
Utata mtupu!!!
 
yeye ameyatumia hayo maji?
 

Tatizo haupo na wala hauna makazi kilumi ndio maana unaongea kwa dharau.

Tuache kuleta siasa kwenye Maisha ya watanzania.
 
Angekunywa kwanza hapo au kuyanawa kama mfano kwa wengine
 

Ni Mambo ya Aibu sana haya!

Lakini kama wewe hautumii wala hauishi kando mwa Mto ama hautegemei Kipato chochote kutokana na Mto Huu Busara ni kuthamini wenzio wanaotumia Mto huo.

Wananchi wanalalamika kwa kuumia na Maji hayo alafu Mbunge unasimama na kutetea kwa kuwahamasisha waendelee kutumia.
Nashindwa kuelewa hawa wenzangu wanawaza nini hali ya Mungu [emoji2305].

Kweli tunakuwa Vipofu kwa level hii hatuwezi tumia hata Ubongo wa Mtu zezeta ambao unaweza tambua hii ni hatari kwa afya za Binadamu wenzetu?

Mito Mingapi Dunia haijawai Badilika Rangi kwa sababu hizi zilizotolewa na hii Kamati.

Imaumiza [emoji2305]
 
Hizi inaweza ikawa kama kipindi kile kulivyokuwa hamna corona ila kuna changamoto ya upumuaji🤣 naona na hayo maji hayana sumu... yana changamoto mbali mbali 🐒
 
Sipendi matusi ila nimeona umuhimu wake kupitia hii comment


Kuna haja kutukana
 
Ametembelea lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…