Anapitia humu mkuu. Anasema nguo zipo wamechukua jinsi moja na vitu vingine. Silaha zake wameziacha. wamechukua documents. Anasema anashangaa haki ya mungu, wameacha nastola na bunduki kubwa wataalamu wanaamini ni wadokozi tu na si majambazi kwa kuwa majambazi wangechukua silaha. Anahisi watu walimuona baada ya kuchungulia na kukuta amelala ama ni watu waliokuwa na taarifa na wanajua nini walichokuwa wanakifanya.
Malima anaeleza jinsi alivyoibiwa
Kasema alikuwa na bunduki kubwa na bastola ila hazikuibiwa!
hAWAJAIBA BALI WAMEIBIANA NA KUBADILISHANAHabari zilizopatikana sasa hivi zinasema Naibu Waziri Adamu Malima ameibiwa kila kitu ktk hoteli ya Loshera mjini Morogoro. Hadi sasa bado yuko ndani ya chumba cha hiyo hoteli hajatoka nje. Inasemekana hata nguo alizoavaa amesaidiwa tu na wasamaria wema.
Yaleyale ya mawaziri kuendelea kuumbuka ugenini!
Manjagy bado yanafuatilia issue hii nzima!
Source: Radio One, muda 13:14 pm
Kasema alikuwa na bunduki kubwa na bastola ila hazikuibiwa!
Sio kwamba yatatupeleka pabaya bali yanafanyikia pabaya... Chini ya vitovu vya Malima na Kahaba.dah haya mambo ya ngono yanapeleka watu pabaya ..
Anapitia humu mkuu. Anasema nguo zipo wamechukua jinsi moja na vitu vingine. Silaha zake wameziacha. wamechukua documents. Anasema anashangaa haki ya mungu, wameacha nastola na bunduki kubwa wataalamu wanaamini ni wadokozi tu na si majambazi kwa kuwa majambazi wangechukua silaha. Anahisi watu walimuona baada ya kuchungulia na kukuta amelala ama ni watu waliokuwa na taarifa na wanajua nini walichokuwa wanakifanya.
Nangojea picha Risasi,Uwazi na ijumaa.. I hope waliweza kuwahi eneo la tukio kwa coverage!
Hivi hakua na Nyara za seriali? unaweza kukuta huyo changu kabeba mpaka mikataba feki ya migodi mipya ya Handeni na Singida.
Vipi hajalowa nyuma au?
kimbunga jamaa alikuwa anenda vitani au? kujitwika misilaha yoote hiyo!hakya Mungu magamba wataua watu safari hii,