Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Anawaharibia wenye hoteli kwa kudai kaibiwa kupitia dirishani.
 
Jana si ndio ilikuwa siku ya wanawake duniani, big up wanawake. Endeleeni kuadhimishi siku yenu kila mwaka kumliza kigogo mmoja. Uzinzi utaisha.
 

Hiyo ndo hasara ya kuchukua Machangu ndugu yangu Malima..Au kama ulimkopa imekula kwako.Ingekuwa enzi za Mwalimu ulitakiwa ujiuzulu mwenyewe kabla .....Rais hajakuengua maana in aibu kwa waziri kutembea na Machungu
 
vibwengo hivyo.. Safi sana wangemla na kiboga kabisa
 

Hata kama mtu humpendi ukweli ni kitu cha kistaarabu huo unaongeza uzushi, amehojiwa na Radio One amewaonesha hadi nguo wameiba mabegi.
 
Chitambikwe nimekukubali, swali zuri watu hlo kama kalowa au vipi. Inawezekana kabisa kuwa wamem -Cameroun huyo
 
Waandishi kapigeni picha dirisha lililokatwa tulione!
mpaka begi limepita? au dirisha limeng'olewa amekosea kusema?
 
Owky so hakuwa na mwanamke................So aishtaki Hotel kwa kutokuwa na ulinzi wa kutosha hasa kwa mtu kama yeye achilia mbali wateja wa kawaida. Akitaka tumuamini kuwa alikuwa clean na kweli vimeibiwa akiwa chumbani, awafungulie kesi ya madai hao wamiliki wa hiyo hotel.

Bila hivyo, Malima ulikuwa na mwanamke, na alokuliza ni mwanamke!
 
Siku ya wanawake duniani oyeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!? Safi sana ma-dada poa wa kahumba
 
dola 4000....hapo walinzi walikula dola mia mia..,!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…