Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,236
Kwasisi tulioko Arusha tumeshawazoea hawa wakubwa wakiibiwa na malaya ila sioni kama swala la kuoa kama breaking news. Kwa redio One kuifanya breaking news ni kama kulipiza kisasi maana Malima huwa ana bifu na Mengi na ndiye aliyepeleka malalamiko bungeni kuwa Itv na redio one zinatumia mda mwingi kwenye taarifa ya habari kuhusu Mengi kuliko mkuu wa nchi.
Kama hawana la kusema kuhusu mkuu wa nchi watangaze nini?
Mbona mahudhurio yake kwenye misiba tunaipata kila kukicha?