Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Huo ni ushauri mzuri sana kwa huyu kijana mwenzetu akakomboe walau hata ka-laptop moja. Sasa laptops zote mbili na USD 4,000 kwa Moro ...?????

Waheshimiwa wabunge popote pale mlipo, kama mlidhani gharama ya maisha bila posho ni balaa Domz basi jaribu Moro ndipo utakapokutana na Banyamulenge wakisubiri kujikamulia kodi zao toka kwenu ili maisha yaendelee.

Yaani nikifikiria jinsi gani Mhe Nchimbi atakavyokua anamcheka huyu rafiki yake mbavu kuuma, na machozi ya furaha kugoma kukatika, wala sina hamu!!!!!!

Masud Kipanya au mkuu Mpangala kama si mzee Joti kule Mikocheni, tukamilishieni hii sinema OVER!!!!


Kuna jamaa angu mpaka chupi walimchukulia. Lucky enough alikuwa na namba ya one of rafiki.akamwomba muhudumu akipiga jamaa akatoka dar mpaka moro.

Jamaa for 3 days alikuwa hoi.uwa wanapaka drug kwa matiti ukinyonya tu lazima ulale more than 8 hrs. Pole malima hawa sio wa Udom, hawa ni Mungiki na banyamulenge.

Ila amcheki Pimp Maneno Ngedere hapo Kaumba.atapata ata laptop yake(maana huwa awaachi kitu)ngedere anakuwepo hapo from saa 3 ucku.
 
Jamani kuna wadau hapa wanabisha kuwa morogoro hakuna lodge ya laki nne (4)
kwani hiyo hoteli inaitwaje?
 
Mambo ya fostars hayo ndio club iliyo karibu na nashera hotel
 
Morogoro tu anaenda na Us dollar 4000, huko majuu anabeba ngapi?
Pole deputy minister, viwavi jeshi(cd) wengine wanaweza hata pasipo kuwezeshwa. Sasa mama watoto utamweleza nini wakati raia tunapoanza kukungangania ujiuzulu ili kulinda heshima ya ofisi ya umma?
Nakusihi mh kwa heshima na taadhima ujiuzulu mara moja ili kuonyesha angalau unajali. Usimsubiri mkuu wa kaya akuwajibishe kwa sababu tunadhani kuwa hana utaratibu huo, labda aanzie kwako.
.
 
Ina maana huyo ngedere ndo bosi wao hao "machangu"?
Huo ni ushauri mzuri sana kwa huyu kijana mwenzetu akakomboe walau hata ka-laptop moja. Sasa laptops zote mbili na USD 4,000 kwa Moro ...?????

Waheshimiwa wabunge popote pale mlipo, kama mlidhani gharama ya maisha bila posho ni balaa Domz basi jaribu Moro ndipo utakapokutana na Banyamulenge wakisubiri kujikamulia kodi zao toka kwenu ili maisha yaendelee.

Yaani nikifikiria jinsi gani Mhe Nchimbi atakavyokua anamcheka huyu rafiki yake mbavu kuuma, na machozi ya furaha kugoma kukatika, wala sina hamu!!!!!!

Masud Kipanya au mkuu Mpangala kama si mzee Joti kule Mikocheni, tukamilishieni hii sinema OVER!!!!
 
Jamani hiyo hotel inaitwaje mbona naambiwa kuwa hoteli zinaishia 150000;
 
Huyo dada alifaa kuwa waziri na waziri kuwa changu. Good job. Niliwaonya wanangu kuwa watawala wenu wanaopenda ngono ipo siku wataumbuka. Hata wale wanaopelekea malaya wao kutumbua nao ughaibuni kuna siku wataumbuka. Hata wanaoendekeza safari za ughaibuni kujitibia miwaya watakuja julikana siku isiyo na jina. Wanangu mtayakumbuka maneno haya ya baba yenu.
 
kila kitu maana yake nini jamani?Tafadhali mubainishe ameibiwa vitu gani iloi tujue
 
dada poa uyo ni soooo............naibu kalamba joka mchezo kwishney
 
Kwanza napenda kumpa pole Mh Naibu Waziri kwa kupatwa na janga hili. Lakini kama ni kweli alikuwa na kimada ama mwanamke wa kuokota kwenye night club humo chumbani, na asubuhi akakuta kaibiwa basi huo ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu, ubadhirifu wa madaraka na kuishusha hadhi na heshima ofisi ya serikali. Na mwisho ningeomba ama ningemshauri Mh Naibu Waziri ajipime kama bado anafaa kuendelea kuwa Mh Naibu Waziri kabla Ikulu haijaamua kulifanyia kazi suala hili. Tunatukanwa na vyama vya upinzani kila kukicha kwa mambo mabaya na machafu kama haya, na sasa wakati umefika wa kusafisha Chama na Serikali ili kurudisha heshima na imani kwa watanzania.
 
Back
Top Bottom