Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Milioni 9,bunduki na bastola daah! Utafikiri somalia au anawinda kwenye vitalu vya wanyama,mama ongeza poshoz
 
  • Thanks
Reactions: FJM
.....hoteli za mashenzini taabu tupu, haya sasa, reputation ya hiyo 'guest hse' itabakia na tag pale alipoibiwa mheshimiwa waziri....

I dont buy other cheap stories ati alikuwa na kimada, arrgghh!
 
hao ndiyo mawaziri tunaowategemea kutuongoza kupata maendeleo.
 
.......watu wanaocheua fedha bwana; umemsikia Adam Malima leo kwenye hbari itv? katoka na statement ya ukakasi kwamba ni muhimu kutembea na vijisenti.........." yaleyale ya mzee chenge.
 
...usichokijua ni sawa na usiku wa giza; ni busara kukaa kimya kuliko kubahatisha, sala tano aliyeenda sauz kwa jina la kikristo kufanyika dili, ovyoo;

Na hoteklini hapo kaingia kwa jina la kikristo! si anajuwa huko kwenye hayo majina ndipo walipo watu wema na ukitumia majina yao basi unajulikana kuwa wewe ni mwema kabisa. Si ndio?

Halafu wewe umeona mimi tu nilietaja sala tano ndiye nisielijuwa lakini wale wanaoongelea kuhusu malaya, hao wote wanalijuwa na walikuwepo huko! si ndio?
 
Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema Naibu Waziri Adamu Malima ameibiwa kila kitu ktk hoteli ya Loshera mjini Morogoro. Hadi sasa bado yuko ndani ya chumba cha hiyo hoteli hajatoka nje. Inasemekana hata nguo alizoavaa amesaidiwa tu na wasamaria wema.

Yaleyale ya mawaziri kuendelea kuumbuka ugenini!

Manjagy bado yanafuatilia issue hii nzima!

Source: Radio One, muda 13:14 pm

Hivi hizi habari za kwamba jamaa aliibiwa hadi nguo zote hawa radio one walizipata wapi? Nimemsikia Malima akielezea kwamba hajaibiwa nguo zote.
Halafu hii forum siyo vijiwe vya umbea umbea, hii habari ya kwamba alikua na mwanamke nayo imetoka wapi? Hivi kweli tuendelee kujiita great thinkers wakati tunakaa hapa jukwaani kujadili umbea unaoletwa na mjinga mmoja?.
Hii ni aibu kwa jukwaa zima.
 
Alipangaje kwenye hoteli isiyo na usalama? Aache kabisa tabia ya kuudanganya umma. Alioshwa na Changudoa sasa anajaribu kupindisha ukweli. Ashukuru huyo changudoa hajamlipua na bastola yake mwenyewe.
 
Eti walivunja sehemu ya dirisha halafu wahusika wa wizi huo ni askari wa ulinzi...hii ni staged evidence ili watu wasidadisi ukweli,halafu waziri mwenyewe anaongea kwa dharau dharau....
kama hamuamini tutaona kama hao walinzi kweli watafikishwa kizimbani.
 
Nyinyi mnaoongea hovyo, dirisha la chumba cha Adam Malima limevunjwa.

Na yule ni mtu sala 5 hana upuuzi wa kuwa na malaya.

Mkuu, najua hiyo ndio taarifa ya kijinga iliyotolewa na polisi na kusikika kwenye vyombo vya habari. Habari hiyo inalenga kumlinda Malima lakini ukweli unabaki pale pale kwamba ameibiwa na changudoa period!!!

Tiba
 
Hizi hoteli zina mambo kuna mwanasiasa mmoja nilisikia aliwahi kuvunjwa mkono na demu kwa kukwidwa kulipa ujira unaostahili, yeye akazuga ameanguka bafu hotelini, hii ilikuwa Mwanza kama sikosei. Uteleze bafu uvunjike mkono? hata akilini haiingii.
 
wana jf huyu jamaa alikua na ishu huenda alienda kula room ya jirani,saa 10:45 alfajiri eti bado upo sebuleni
 
Ni mara chache hutokea kumjadili mtu na lazima awe amenikwaza sana. Huyu mtu sijui ilikuwaje hadi akachaguliwa kuwa mbunge. Kuna mbunge mmoja wa Pemba aliwahi kusema madereva wa daladala wana IQ za bata. Huyu naye anaingia katika kundi hilo.
Hadi sasa bado sijarecover kutokana na mshtuko wa kusikia amekuwa naibu waziri.

Like father like son. Hata Al maruhumu baba yake, RIP, si alifia hotelini akiwa na mke mdogo? Labda familia yako imechanjiwa kupatwa matukio hotelini
 
Kwamba alijipumzisha sebuleni akiangalia taarifa ya habari?! Kwamba akaibiwa simu alizoacha chumbani?! Kwamba kwa nafasi yake ni mtu wa kuacha mbali simu zake?! Kwamba tayari alishavua pete?! Kwamba wezi walijua amepitiwa na usingizi sebuleni na hajalala chumbani?! Ooooooopsss.:thinking:
 
huyu **** mwache wamtie adabu anafikiri vicheche wa moro sawa na wa ghuba ? anaendekeza sana ubishoo kulamba lips na kubenua midomo ndio mana wamemsoma na wamempa alichokitaka na ashukuru sana hawakumpasulia mayai kwenye masaburi yake wamemstiri maana ana ushuz mlaini kama wa shenazi
 
Afu jamaa amekaa kihuni-huni sana hana ile personality inayoshow-up adabu na tabia njema...am convinced to judge him by his cover!!!
Kwa iyo sebuleni wakaja kukuvua nguo ulizovaa bwn malima...;wakachambua wakaacha bastola na AK...
 
Back
Top Bottom