Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Katika Taarifa ya Habari ITV saa mbili Mh malima amesema kwamba hizo hela zilizoibiwa ni "Vijipesa kidogo tu"

USD4000+1.5mil Tsh~Millioni Saba ni vijipesa kidogo kwa malima

ana haki ya kusema vijipesa,kama huwa anatambea na dola kuanzia 10000 na kuendelea,sure dola 4000 ni vijipesa,ingawa ni mafao ya kustaafu ya mwalimu wa msingi kwa miaka 30,thats Tz
 
Ndugu zanguni
nilisubiri kwa hamu kusikia hii kituko kilichomtokea mh malima
binafsi nilijua ni story nikafunga masafa kuomba mtu alie karibu na hotel hiyo
aniendee hapo na kuuliza kulikoni
katika dodosa dodosa inasikitisha sana kuona meneja wa hotel akidanganya kumlinda mh malima
swala la kuvunjwa na mengineyo ni jambo lililofanywa kuficha ukweli halisi
hali halisi ni kwamba waliingia na baadhi ya ma binti wzuri sana lakini wanaonekana watoto wa mjini
kama umemsikia kwenye tv akuna mwizi yoyote mwenye kuiba mali alizotaja akaacha bastola na bunduki kama anavyojitapa kwamba mali zile zimeombewa ni ngumu kuchukuliwa na si mara ya kwanza kuibiwa na kuachwa hizo bastola

adam binafsi ni kaka yangu namjua vizuri na kama angetokea akaomba ushauri kwa kweli ningeshauri
akubali yaishe kakutana na watoto wa mjini na swala ni kusonga mbele

katika kuonyesha usanii huo muda si mrefu utasikia wanadai vimeanza kuonekana baadhi ya vitu
hivi ni vituko vya ,mwaka..mh rais alitahadharishwa kuachana na ubebaji wa vijana wa mjini kwenye wizara zake matokeo yake wanatia aibu ..nawaambia ni aibu mkitaka kuanza kuona aibu ya wizara za kikwete njooni rosegarden muone wanavyojilewea wanashindwa hata kuondoka kwenye kiti
ahmad naona kuna mmoja alipumzishwa kabisa aliekuwa mh l masha huyu ndio loh

naamini hii iwe fundisho kwa mawaziri wenye ndoa zenu mkiwa nje sio lazima mtembee na kila mwanamke mnaweza hata kufunga bendeji kama vile umeumia .....ni muhimu mkawa waamnifu
kwenye ndoa zenu na sio fedha kuwaongoza..nimesmikia hana adabu kabisa anadai wameiba vijisenti tu doller alfu nne..nashukuru mungu amejibu maombi yangu siku niliposoma wamepewa million 4 mgao wa jairo nilimwambia mungu ajiridhishe hata kwa kuchomewa moto nyumba zao..walifikiri watanzania walikaa kimya loh mengi yanamsubiri ngeleja

labda hii ni fundisho kwa ngeleja kwamaba ajitayarishe na yeye ...

Bwana ametoa mabinti wametwaaaa jina la adamu lisimuliwe
loh!!!!!!!
 
Nimeconfirm na kijana mmoja kwenye hiyo hotel ni kweli alilala hapo tangu juzi kwenye chumba cha exctv suite sh 400000 kwa siku tangu jana alirudi usiku kutoka club na dada mweupe mrefu na asbh kaamka kajikuta hana hata chupi katoka na taulo kiunoni!!hawa dada zetu wa club cjui vp amemkomba kila kitu waziri ni aibu Mkuu wa mkoa alienda kuokoa jahazi
Kama habari hii ina uhakika ni aibu kwa serikali kuwa na mawaziri washerati wapenda kujirusha! na ni vema serikali ikamtafuta kahaba huyo apewe "tuzo" kwa kuanika maisha ya kujirusha ya waheshimiwa! Watu kama hawa wanapokufa mseme wamekufa nini msikimbilie mshinikizo ya damu!
 
Hakika umenena, heshima yote kwisha nadhani wamemdiscipline. Hiyo yote ni hatari ya mkuu wa nchi afadhali alikumbuka kumpiga chini Masha maana ndiyo kundi lile lile
 
pole sana MH waziri Mungu nunaemuamini Atakulipa
 
Wana JF niambieni kuna nini special kuhusu Adam Malima? Maana mada imeanza sa 7.13 na kufika saa hizi ni saa 4 .11 za usiku lakini kuna wchangiaji 481. Yaani posts 50 kwa saa au kwa kila dakika moja na sekunde 15 inayokwenda kuna mtu anapost. Je Adam ni kichwa kiasi hicho au ana maadui wengi? Naomba jibu
 
nimegundua kitu kimoja kwamba viongozi wetu wengi hawajimini kwamba wako salama ndani nchi hii....pisto na bunduki za nini kama unajiamini uko katika nchi ya amani....dola 400 na paspoti kwamba yakitokea machafuko yoyote awe tayari kukimbia nchi.....hii ni hatari ndio maana maamuzi yao ya ajabuajabu.!!!!
 
Wangemkameruni ningefurahi mno, hata mayai wangempasulia kwa nyuma angetia adabu
 
katika kuonyesha usanii huo muda si mrefu utasikia wanadai vimeanza kuonekana baadhi ya vitu
hivi ni vituko vya ,mwaka.

Ulichosema kimetimia kwenye taarifa ya habari TBC wamesema kuwa baadhi ya vitu vimeanza kupatikana
 
Nilisikiza mahojiano yake mchana, jinsi alivokuwa defiant na tambo zake naona sasa tumehit rock bottom but i believe kuna mwanga at the end of the tunnel na wanasema ukifika at the bottom you hv two choices either to stay there or to get up so Watanzania uamuzi ni wetu we cant low than this.
 
Najiuliza kitu kimoja .....Kama chumbani ni ghorofani..Huyo mwizi atakuwa amepata tabu sana kupaa Hadi ghorofani kuvunja na kuiba ...atakuwa komandooo huyoooo...

Naibu waziri alikuwa kwenye sanya sanya kwa wachimba madinii....wakaamua kutuma Malaya wa kisomali kwenda kurudisha Vito vyao.........Huyo Malaya atakuwa ashavuka tundumaa anaelekea berg ...
 
Adam hana pa kujificha kaingia choo cha kike makahaba wamemfundisha adabu,na uhakika hao mademu waliompiga wanaingia JF wafate ushauri wangu,hizo laptop wasiuze kwanza waziifadhi sehemu iliyojificha na hapo kijiweni walipotolewa wasiende kabisa yani ahame hata na mkoa aende kijijini akatulie kabisa,milion 7 na vitu vitu venye thaman ya mil10 si mchezo vinakuweka mjini hata mwaka mzima,ukiuza laptop tu watakubamba mapema wewe hizo laptop zichunie kwanza uza baada ya mwaka kupita.
 
Wana JF niambieni kuna nini special kuhusu Adam Malima? Maana mada imeanza sa 7.13 na kufika saa hizi ni saa 4 .11 za usiku lakini kuna wchangiaji 481. Yaani posts 50 kwa saa au kwa kila dakika moja na sekunde 15 inayokwenda kuna mtu anapost. Je Adam ni kichwa kiasi hicho au ana maadui wengi? Naomba jibu

Watu wanashangaa kituko kilichofamywa na naibu waziri....
 
Hii ndio Moro mji kasoro bahari totoz za hapa zinaufundi wa hali ya juu
Dito alipewa dozi yanguvu akashindwa kuimili mauti yakamkuta, sasa huyu dogo
anaona mazoezi yamemsaidia dozi aliyo pata alizimia tu watu wakakomba mzigo.
Tunawasubiri mawaziri wengi waje wapate dozi
 
Wana JF niambieni kuna nini special kuhusu Adam Malima? Maana mada imeanza sa 7.13 na kufika saa hizi ni saa 4 .11 za usiku lakini kuna wchangiaji 481. Yaani posts 50 kwa saa au kwa kila dakika moja na sekunde 15 inayokwenda kuna mtu anapost. Je Adam ni kichwa kiasi hicho au ana maadui wengi? Naomba jibu

Sina hakika hama ana maadui wengi lakini maelezo yake yana utata na utoto mwingi kiasi cha kushangaza. Rais wangu Kikwete ondoa aibu hii, Mawaziri ulionao ni vituko, usione haya kuvunja baraza bado unao muda wa kurekebisha mambo kabla ya 2015. Tulikuwa na matumaini makubwa nawe lakini unatukatisha tamaa.huwezi kukwepa hilo kwani unayechagua baraza la mawaziri ni wewe mwenyewe.
 
Mkuu niko Hotelini hapa na kuna haka kakipeperushi kananikera kanasema hivi: You are urged to deposit your valuable items such as money, computer, camera, fire arms, etc to the receptionist and a receipt will be issued. The hotel shall not be held responsible for any loss caused by violation of this regulation!!
Sijui kama hiyo hotel nayo ilikuwa na haka katangazo kweli.

I have been to this hotel, ni hotel nzuri yenye spacious rooms, na wana digital safes kwenye kila chumba. Tusiwaonee. Tamaa mbaya.
 
Eehhhh???ya saa ngapi mkuu maana niko mizunguko to home teeheetee
i lke the country...nasema huu upuuzi anaouendeekeza mh kikwete utamtokea puani
nasiktika kwa yaliomtokea kama kaka yangu lakini ni heshima kwa wale wanaotumia nafasi
za kwenda nje ya familia na kutoka nje na wanawake msiowajua .....mzee wa clouds anakwambia wazi
tui la kwanza la pili maji hilo loh...na kupotea wakati wa kwenda kurudi ma binti wamerudi wenyewe na labda kuwahaakikishia kinachotafutwa sasa ni wale wanawake na aliewaletea yuko ndani anaisaidia polisi....inashangaza kuwadi anapendwa wakatiwa furaha tu ikiharibika kitu anaisaidia polisi
loh!!
Shame on them na hawatowapata ngo' hiyo ni heshima kwa mawaziri mjue mkikanyaga mkoa wetu madada wako kikazi zaidi wanatembea na ngo mfukoni sasa kama utaleta za kuleta hakika lazima usimuliwe kama adam..naamini mengi yamewatokea kama adamu wameshindwa kuweka wazi
 
Unamtaja mungu huku unazua uongo, huoni hata haya wala hujui vibaya.
 
Back
Top Bottom