ritz nasemaje haya mambo ya kawaida kabisa!! Tena jamaa ashukuru ni waziri hivyo serikali itagharamia kila kitu pale
kuna story nyingi mno za wenzangu wahandisi wa ujenzi, ,migodi, masurveyor, ma geologist
kuna mahali unabanwa, unaingia na mtoto chumbani unaona kabisa itakuwa short time..mara una extend muda na huku ukilia na
kujuta kwa nini umeoa yule wakati raha ziko huku
kutahamaki huna michoro, simu, laptop na tender documents!!! Achilia mbali theodolite na gps!
Kuna wanawake balaa acha kabisa
humu wengi wanasema kwa zile mila za kinafiki za ki-afrika as if they are 100% innocent kumbe ni vice versa kwa sababu ni malima!
Huyu malima kama alikuwa na kamchezo haka tangu kabla hajawa waziri kuna mechanism gani au nguvu gani ya kuwa ukiwa waziri unaacha haka kamchezo?? Kama sio kuwa ukiwa waziri ndio kanaongezeka
kwanza anatabia nzuri kwa dollar 4000? Unakuwa na watatu unawachukua sehemu mbali mbali...mbona mshikaji yuko normal tu!! Mmoja tu!
Pole dume la mbegu