King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Machangu nomaaaaaa ni wezi wazoefu hawakosei.
1&2 hakuna
na kama anaendelea kuficha ukweli na kusababisha watu wasio na hatia (walinzi 3) kusota jela/rumande....laana itaendelea kumfuata. Hili litakua dogo tu
ulinzi hafifu jamani
tuwe wakweli wangapi huwa wanafanya hizi inshu??
mlinzi huwa hatakiwi kumruhusu dada kutoka mpaka aliyeingia naye a-confirm, kwetu busia, iko hivyo
1&2 hakuna
michuzi ajaonyesha vizuri ukitaka ucheke omba itv warudie tena taarifa ya habari saa tisa usiku ukiwa na mkeo ndio mtacheka ...embu ntafutieni sehemu waliovunja ama inaonyesha wamevunja kingine anadai ati anashukuru mungu hoteli ina pande mbili so akiwa sebuleni ndio wakamwibia else wangeweza kumdhru ..tuna uhaakika gani wamemwacha @@@mbona dirisha lenyewe,halionekani kuvunjwa au forced entry?? Au sio lenyewe??? Nimeitoa kwa michuzi loh![]()
angalia alivooita hao binadamu wapige picha wanatafuta ilipovunjwa awaoni wanaishia kushika kamera zao maskini wasijue cha kufanyambona dirisha lenyewe,halionekani kuvunjwa au forced entry?? Au sio lenyewe??? Nimeitoa kwa michuzi loh![]()
Halafu hayo matokeo ya DNA walinganishe na nnili kumpata mhusika?
Source Please
Mi naona kama vile huwa wanatembea tayari kwa lolote na ikiwa vipi basi anatafuta uwanja wowote afu mbele kwa mbele(kusepa)yaani nina maanisha ni kama vile hawajiamini na hali halisi,au we uanaonaje?mzee wa vijipesa!madaktari wakidai milioni 3.5 tunaona kuubwa.