Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Malima ndugu yangu sio kwamba wanajamvi hatukupendi, sema maelezo yako ndio mchanganyo wa maneno yako. Waliowengi humu tayari tumeshawahi kufanyiwa U-Malima au kufumaniwa lkn huwa tunauchuna. Usimwogope JK mzee yule ni mjanja mwenzako sema tu hukumwambia ukweli angekuokoa hata kabla soo halijatifuka. Pole sana malaya mwenzetu.
 
Waziri mdogo Mh. Adam Malima afunguka live ktk TV , je wakuu na wataalamu wa body-language mnasemaje juu ya maaelezo ya mheshimiwa?

Video kwa hisani ya Tangibovu wa youtube
 
Last edited by a moderator:

Mkuu mwanzoni umeandika vizuuuuri ila mwishoni, mmhhhh.
 
ni kweli kuwa malima kalizwa dau kubwa. Nimesoma karibu post zote sijaona ilikuwaje habari ikaenda hewani. Pia, hiyo hoteli haina uzio? Haina ulinzi? Tuamini kuna njama basi
 
Hahahaha nimeipenda hyo... Kweli machangu wanaweza bila kuwezeshwa!
 
Pete ya ndoa ni agano na mkeo aliyekuvisha hiyo pete. Ukiwa unabanjua nje ya ndoa pete inakusuta kuwa unaunja agano. Mh. aliogopa kusutwa na pete akaitoa na kuiweka kando ili isiathiri hisia katikati ya sherehe chafu. Baada ya kushangilia akajisahau ndipo CD alipojigawia pato na itendea kazi.

Kama dirisha liliunjwa, kwa nini waandishi wa habari walizuiwa kulikaribia dirisha hilo? Hii ni danganya toto, Wizara ya Madini na Nishati imeoza "Like dad like son"

USD 4,000. katoka Sumbawanga, alienda nazo kufanyia nini? au kapewa na wachimba madini wazungu wa Sumbawanga?

Huyu Adam bwana! Majina yaangaliwe historia yake, hili la Adam lina asili ya uvunjifu na ulaji tunda la katikati toka EDEN

Katika mliomsikia mh adamu jamani nimecheka mpaka basi
binafsi shemeji yenu akasema laiti huyu angekuwa wewe
ungezitafuta hizo pete na hawara yako nikamwambia ntake radhi tafadhali
mh malima anasema pamoja na fedha amelambwa pete moja ya ndoa nyingine usiniulize tafadhali

-alivua pete kwa nini??
-na wakati akirudi dar kwa nini anavaa pete??
-je pete mikoani aziruhusiwi ama??
-wanasheria sheria zinasemaje iwapo mh akihisiwa ameidanganya ndoa yake ??

Samahani kama ana mke mmoja naomba mama shemeji ufunguke sasa na wewe uone
shukuru rais kwenda mlima kilimanjaro kuwapongeza naona mungu anaanza kuwafungua ndoa zenu muone ni maisha gani waume zenu wanaishi ...binafsi ningekushauri umpe muda wa kuvaa zile lailoni mpaka atakapotimiza miezi mitatu then mkapime..sisemi binti alikuwa anaumwa la hasha amenishtua alipoddai ametokea mikoa aidi ya mitatu moro ni wa nne najiuliza huko walikomsamehe amepita na wangapi??
Oohh god saidia hizi ndoa za waheshimiwa jamani
 
Umenikumbusha na habari ya yule mama mwenye kesi aliyezaa na yule katibu wa chama.
 
nimetafuta kidubwasha cha like nikakutana na cancel nikawa hoi....
Mpwa nahisi kama si ulimaliza la saba havard basi babu yako mzaa babu alisoma hapo...masikitko yangu aliepa wazo la kujitangaza hivi alikose akumpa mbinu zakuongea na hata kutangaza kilichoibiwa..ni kweli nenda kaulize pale hotelini wanakwambia akuna kilichovunjwa hayo mlioyaona ni ombi kwa hotel na imsaidie kujieleza serikalini ameibiwaje ....maana inasemekana kuna mzigo mkubwa wa docs zenye uchafu wao naomba nipe muda si mrefu utarudi kuwa mpenzi wa mwanahalisi na raia mwema na kama mwananchi watajibeba utalipenda na mwanachi ......na aibu ilioje baada ya kuonekana imevunjwa ni yeye ndie ametoa pesa za kutafuta fundi aje kurekebisha..nahis uzinzi ni dhambi chafu kuliko zote lakini nahisi huyu atakuwa amepitiliza dhambi ya uzinzi ndio maana shetani kaamua kumuaibisha

unajua kuna dhambi unaingia na mwanamke ndani shetani akijua ndio hiyo anaishia mlangoni BAADA YA KUSOMA
"""""""""""""""PARKING ON YOUR OWN RISK"""""""""""""""" nahisi jamaa akaamua kujipiga kufuli na dhambi yake shetwani akasema sikuachi iiiiiiiii loh umepata nguvu wapi dhambi hii haata mie naiogopa sembuse we uko duniani

usiniulize ipi tafadhali[/
QUOTE]

Si useme tu kuwa ni kinyume na taratibu
 
Waziri mdogo Mh. Adam Malima afunguka live ktk TV , je wakuu na wataalamu wa body-language mnasemaje juu ya maaelezo ya mheshimiwa?

Video kwa hisani ya Tangibovu wa youtube

Dada wa kichagga mtangazaji wa tv ya wmengi anasema mheshimiwa kaibiwa pamoja na vitu vingine dola za marekani laki nne!!!!!!!!!!!!!! hizi ni chumvi zilizozidi,dola laki nne anazijua huyu kanjanja au anazisikia?......................................
................................
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyo jambazi alikuwa na mikono mingapi?

a. Muda uliotumiwa kukunja dirisha ni wazi imetumika metal ya aina fulani - na wakati wote hiyo hakuna aliyesikia?
b. Anaingia ndani na kuchukua laptops (sidhani kama zote zilikuwa mahali pamoja)
c. Anachukua mabegi matatu
d. Anasearch fedha
e. Anachukua pete
f. Balaghashia
g. Anatoka na vifaa alivyoingia navyo
h. Anatembea hadi kutokomea bila kuonekana?

Mmh haya "utamu njoo, uongo njoo"!
 
Malima bana! Eti silaha za kumsaidia kwenye mpambano, lakini anakaa sebuleni huku vyombo kaacha chumbani. Mwongo sana malima.
 
Naamini hii inaweza mtokea yeyote kati yetu. Pole sana Mh Malima. Iwe ulichukua mzigo ukakuzidi ujanja au vibaka wamekukaribisha mji kasoro bahari yote ni maisha ya kawaida tu. Pole sana. Naamini jana mpaka asubuhi hii vibaka wote Moro wamejuta kwa nini wamemuibia mkubwaa
 
du hii kali muheshimiwa alikuwa sebuleni vi2 vilikuwa chumbani.jambazi alijuaje sasa yuko sebleni ili avunje dirisha akaibe?dola elfu 4000 hana hata card ili asitembee na hilo burungutu?.kwanza angetakiwa awe mikononi mwa polisi sheria hairuhusu kutembea na pesa mingi ivyo.pia hotel ina safe box kwanini hakuweka hizn fWEZA huko?hapo badala polisi waanze na yeye tayari wavujajasho walinzi wako ndani.mi nadhani mtuhumiwa wakwanza ni yeye.
 
dada wa kichagga mtangazaji wa tv ya wmengi anasema mheshimiwa kaibiwa pamoja na vitu vingine dola za marekani laki nne!!!!!!!!!!!!!! Hizi ni chumvi zilizozidi,dola laki nne anazijua huyu kanjanja au anazisikia?......................................
................................

kahongwa huyo mpwa usilalamike sio yeye adam anatumia kila njia sasa akujua kuna jf
dare 4more all the word
 
hivi huyo jambazi alikuwa na mikono mingapi?

A. Muda uliotumiwa kukunja dirisha ni wazi imetumika metal ya aina fulani - na wakati wote hiyo hakuna aliyesikia?
B. Anaingia ndani na kuchukua laptops (sidhani kama zote zilikuwa mahali pamoja)
c. Anachukua mabegi matatu
d. Anasearch fedha
e. Anachukua pete
f. Balaghashia
g. Anatoka na vifaa alivyoingia navyo
h. Anatembea hadi kutokomea bila kuonekana?

Mmh haya "utamu njoo, uongo njoo"!

mwanakijiji
ogopa dhambi ya uzinzi..hata ukiangaika kuifunika shetwani anakuwa na wewe upande wa pili
ndio kilichomuaibisha kaka yetu..alafu m naomba taarifa ya habari iwekwe humu muone ni vituko anaongea ukimwangalia kwa macho unaona anatafuta huruma..huyu kuna kitu kama ajawa amebeba
pesa za barrick kwenye hayo mabegi anajuta atamwelezaje mkulu na ngeleja hilo ndio linalomkabili adam na wala sio ndoa yake wao si wanaruhusiwa 4 bana..kuna siri nzito kwenye yale mabegi sio hivi hivi na soon tuwe wavumilivu tutaambiwa pesa zilizoibwa ni zaidi ya doller 4000 wapendwa
 
hivi huyo jambazi alikuwa na mikono mingapi?

A. Muda uliotumiwa kukunja dirisha ni wazi imetumika metal ya aina fulani - na wakati wote hiyo hakuna aliyesikia?
B. Anaingia ndani na kuchukua laptops (sidhani kama zote zilikuwa mahali pamoja)
c. Anachukua mabegi matatu
d. Anasearch fedha
e. Anachukua pete
f. Balaghashia
g. Anatoka na vifaa alivyoingia navyo
h. Anatembea hadi kutokomea bila kuonekana?

Mmh haya "utamu njoo, uongo njoo"!

katarina usije!!!umenikumbusha mbali kaka
mvua njoo katarina usije !!adam bana muwe makini nanyii mnaoendelea kuzaa sio kila mtoto unampa tu jina ili mradi kuna majina yanalaana zake mwisho wa siku unakesha kanisani ama msikitini kumbe soln ni kubadili jina tu
bye
 
Theoretically ngoja nii-note hii hoteli kwenye ka-diary kangu ili siku nikilala hapo niwe makini na vidada ooooops....sorry....vibaka.
 
Wajinga ndo waendelee kuamini hayo maelezo ya kitoto,
eti dirisha livujwe saa kumi usiku, mtu yupo ndani, aibiwe kila kitu bila kusikia?
Fabrication isiyo na kichwa wala miguu!
Unalala hoteli ya laki 4 kwa siku afu unamchukua CD unategemea nini?
 
Back
Top Bottom