Kwanza nampa pole Malima . Lakini baada ya hiyo pole tunauiza
- Hivi kwenye hiyo hoteli akifika kama waziri(Kiofisi) au Kama Malima...........
- Kama alikuwa na issue binafsi je kikazi alikuwa Likizo au aitoroka ?
- Ni usafiri gani na dereva gani alikuwa naye (Wake binafsi au wa sirikali)