Kwamba alijipumzisha sebuleni akiangalia taarifa ya habari?! Kwamba akaibiwa simu alizoacha chumbani?! Kwamba kwa nafasi yake ni mtu wa kuacha mbali simu zake?! Kwamba tayari alishavua pete?! Kwamba wezi walijua amepitiwa na usingizi sebuleni na hajalala chumbani?! Ooooooopsss.:thinking:
Mambo mengine yana ukakasi sana!