Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Malima ndugu yangu sio kwamba wanajamvi hatukupendi, sema maelezo yako ndio mchanganyo wa maneno yako. Waliowengi humu tayari tumeshawahi kufanyiwa U-Malima au kufumaniwa lkn huwa tunauchuna. Usimwogope JK mzee yule ni mjanja mwenzako sema tu hukumwambia ukweli angekuokoa hata kabla soo halijatifuka. Pole sana malaya mwenzetu.
 
Waziri mdogo Mh. Adam Malima afunguka live ktk TV , je wakuu na wataalamu wa body-language mnasemaje juu ya maaelezo ya mheshimiwa?


Video kwa hisani ya Tangibovu wa youtube
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mwanzoni umeandika vizuuuuri ila mwishoni, mmhhhh.
 
ni kweli kuwa malima kalizwa dau kubwa. Nimesoma karibu post zote sijaona ilikuwaje habari ikaenda hewani. Pia, hiyo hoteli haina uzio? Haina ulinzi? Tuamini kuna njama basi
 
Hahahaha nimeipenda hyo... Kweli machangu wanaweza bila kuwezeshwa!
 
Pete ya ndoa ni agano na mkeo aliyekuvisha hiyo pete. Ukiwa unabanjua nje ya ndoa pete inakusuta kuwa unaunja agano. Mh. aliogopa kusutwa na pete akaitoa na kuiweka kando ili isiathiri hisia katikati ya sherehe chafu. Baada ya kushangilia akajisahau ndipo CD alipojigawia pato na itendea kazi.

Kama dirisha liliunjwa, kwa nini waandishi wa habari walizuiwa kulikaribia dirisha hilo? Hii ni danganya toto, Wizara ya Madini na Nishati imeoza "Like dad like son"

USD 4,000. katoka Sumbawanga, alienda nazo kufanyia nini? au kapewa na wachimba madini wazungu wa Sumbawanga?

Huyu Adam bwana! Majina yaangaliwe historia yake, hili la Adam lina asili ya uvunjifu na ulaji tunda la katikati toka EDEN


 
Umenikumbusha na habari ya yule mama mwenye kesi aliyezaa na yule katibu wa chama.
 
 
Waziri mdogo Mh. Adam Malima afunguka live ktk TV , je wakuu na wataalamu wa body-language mnasemaje juu ya maaelezo ya mheshimiwa?


Video kwa hisani ya Tangibovu wa youtube



Dada wa kichagga mtangazaji wa tv ya wmengi anasema mheshimiwa kaibiwa pamoja na vitu vingine dola za marekani laki nne!!!!!!!!!!!!!! hizi ni chumvi zilizozidi,dola laki nne anazijua huyu kanjanja au anazisikia?......................................
................................
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyo jambazi alikuwa na mikono mingapi?

a. Muda uliotumiwa kukunja dirisha ni wazi imetumika metal ya aina fulani - na wakati wote hiyo hakuna aliyesikia?
b. Anaingia ndani na kuchukua laptops (sidhani kama zote zilikuwa mahali pamoja)
c. Anachukua mabegi matatu
d. Anasearch fedha
e. Anachukua pete
f. Balaghashia
g. Anatoka na vifaa alivyoingia navyo
h. Anatembea hadi kutokomea bila kuonekana?

Mmh haya "utamu njoo, uongo njoo"!
 
Malima bana! Eti silaha za kumsaidia kwenye mpambano, lakini anakaa sebuleni huku vyombo kaacha chumbani. Mwongo sana malima.
 
Naamini hii inaweza mtokea yeyote kati yetu. Pole sana Mh Malima. Iwe ulichukua mzigo ukakuzidi ujanja au vibaka wamekukaribisha mji kasoro bahari yote ni maisha ya kawaida tu. Pole sana. Naamini jana mpaka asubuhi hii vibaka wote Moro wamejuta kwa nini wamemuibia mkubwaa
 
du hii kali muheshimiwa alikuwa sebuleni vi2 vilikuwa chumbani.jambazi alijuaje sasa yuko sebleni ili avunje dirisha akaibe?dola elfu 4000 hana hata card ili asitembee na hilo burungutu?.kwanza angetakiwa awe mikononi mwa polisi sheria hairuhusu kutembea na pesa mingi ivyo.pia hotel ina safe box kwanini hakuweka hizn fWEZA huko?hapo badala polisi waanze na yeye tayari wavujajasho walinzi wako ndani.mi nadhani mtuhumiwa wakwanza ni yeye.
 

kahongwa huyo mpwa usilalamike sio yeye adam anatumia kila njia sasa akujua kuna jf
dare 4more all the word
 

mwanakijiji
ogopa dhambi ya uzinzi..hata ukiangaika kuifunika shetwani anakuwa na wewe upande wa pili
ndio kilichomuaibisha kaka yetu..alafu m naomba taarifa ya habari iwekwe humu muone ni vituko anaongea ukimwangalia kwa macho unaona anatafuta huruma..huyu kuna kitu kama ajawa amebeba
pesa za barrick kwenye hayo mabegi anajuta atamwelezaje mkulu na ngeleja hilo ndio linalomkabili adam na wala sio ndoa yake wao si wanaruhusiwa 4 bana..kuna siri nzito kwenye yale mabegi sio hivi hivi na soon tuwe wavumilivu tutaambiwa pesa zilizoibwa ni zaidi ya doller 4000 wapendwa
 

katarina usije!!!umenikumbusha mbali kaka
mvua njoo katarina usije !!adam bana muwe makini nanyii mnaoendelea kuzaa sio kila mtoto unampa tu jina ili mradi kuna majina yanalaana zake mwisho wa siku unakesha kanisani ama msikitini kumbe soln ni kubadili jina tu
bye
 
Theoretically ngoja nii-note hii hoteli kwenye ka-diary kangu ili siku nikilala hapo niwe makini na vidada ooooops....sorry....vibaka.
 
Wajinga ndo waendelee kuamini hayo maelezo ya kitoto,
eti dirisha livujwe saa kumi usiku, mtu yupo ndani, aibiwe kila kitu bila kusikia?
Fabrication isiyo na kichwa wala miguu!
Unalala hoteli ya laki 4 kwa siku afu unamchukua CD unategemea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…