Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Najribu kufigure hii kitu ni kazi za nje zimefanya hiyo au ni mchongo wa wahuni tu,dah maana ni aibu sana.
 
hahahaha.... yaani nimecheka sana siku ya leo lol! chezea totoz za mji kasoro bahari eeh! safisana huy changu alichokifanya ningekuwa na mjua ningempa zawadi....

mawazir, wabunge mmezidi hamna tofauti na machangudoa mnafuna hata kusiko funulika hiyo ndio dawa yenu teh teh teh
 
kama haya niyakweli anatakiwa kuresign mara moja . Lakini kutakana na tabia yabwana mkubwa kunyamaza nahili nalo litapita kimya kimya.

My take home message, please hor malima you should resign.

r u serious?
 

You made my day!!
 
Ajalizwa na mwanamke kweli huyo? Maana na yale mapete yake anaonekana kama ajatulai huyu jamaa.Mpeni pole,ila nadhani malalamiko ya watanzania juu ya umeme yameanza kufanya kazi.
 
hivi akirudi kwa mkewe atasema ilikuwaje akasafihwa hata asibakiziwe bukta kama sio chupi ya kuvaa!!!
 
Vp unataka kumnyang'anya mshikaji nini? Umeona neno mpododo tayari ubongo wako umesha haribikiwa na feelings

Wewe ndiye mwenye ubongo ulioharibikiwa. unajua nilichokuwa namaanisha? Siyo lazima ujibu comments kama hujaelewa!

Soma hapa chini
By Mungi


By Fidel80

Mpododo wangu ni wanguvu nahofia waziri anaweza nizidi kete
 
ndo madhara ya kutoka nje ya ndoa hayoooooooo......jamaa wamemchuuuuumu mpaka kasahau kuwa yupo na changu duuuu:hug:
 
Anaweza tengeneza pesa nyingi sana akiuza kwa Shigongo hapo

hotel kubwa kama hiyo ni lazima ina CCTV Camera, nadhani magazeti ya udaku yawahi kudaka clip ya jinsi mheshimiwa alivyokuwa akiingia na mjasiliamali kwa room yake.
 

ile micheni na mipete yake ya gold lazima huyo changu atakuwa amelamba yote, mweeeeeeee! wanaume tuna kazi kweli kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…