residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
CCM wameua taasisi zote nchini kwa kupachika ndugu zao na machawa badala ya kufuata merits.Kama kweli Deus Sangu ni TISS operative basi TISS haina right people!! Huwezi kuwa operative wa intelligence agency halafu ukaji UNMASK so foolishly!!
Au kuna watu special nchi hii wako juu ya sheria?Wanasheria; hakuna namna ya kumfungulia mashtaka ya uhalifu huyu mtu?
Ushahidi huo hapo tayari mnao.
Ndio hao anawaogopaVipi wana CCM wenzake watakaolitaka hilo jimbo??
Wacha watinduaneNdio hao anawaogopa
Kakosea sanaWacha watinduane
Mayor Quimby huu ndio uozo wa civil service yetu
Madaraka ya kulevya...kama tu mtoto wa museveni vile anatoa vitisho kwa wananchi wa ugandaMbona kama anajisifu sana au kilaji kilikua kichwani?
He is notAisee kweli kuna walio juu ya sheria
Kwa kauli zake hizo yuko juu ya sheria. Au wewe umesikiliza clip tofauti na hii iliyowekwa hapa? Yaani kwanza kazuia ugawanyaji wa jimbo lake, na yupo kule kwa kazi maalumu, pia atapanga safu ya uteuzi, tatu kasema yeye ni mafia kuna watu atawafanyia vile atataka. Sasa huyo yuko chini au juu ya sheria?He is not
Aisee😅Link hii hapa isikie:-
View: https://www.instagram.com/reel/DJtB-IgC6FZ/?igsh=MXhxMHFobm1lMjduaQ==
Anasema ukienda gombea jimboni kwake anakuua , kukupoteza sababu yeye ni USALAMA WA TAIFA
Mpaka jimba amezuia TUME ya Uchaguzi kuligawa.
Anajibasibu kabisa hakuna mtu kugombea pale labda awe amekufa. Akija mtu Mjinga Mjinga anafyeka asubuhi mapema
Hayuko…. Anabwabwaja tu sifa za siasaKwa kauli zake hizo yuko juu ya sheria. Au wewe umesikiliza clip tofauti na hii iliyowekwa hapa? Yaani kwanza kazuia ugawanyaji wa jimbo lake, pia atapanga safu ya uteuzi, tatu kasema yeye ni mafia kuna watu atawafanyia vile atataka. Sasa huyo yuko chini au juu ya sheria?
Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na kuwaumiza watu wanaochapisha taarifa kumhusu kwenye mitandao ya kijamii.
Katika kauli zake, Sangu amedai kuwa yeye ni jasusi aliyefunzwa na serikali kupitia Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), akisisitiza kuwa mafunzo hayo anayatumia kuwazuia watu asiowataka kuingia au kushindana naye kisiasa ndani ya jimbo la Kwela.
Amedai kuwa kwa kutumia mbinu hizo, amefanikisha kulizuia jimbo hilo kugawanywa kinyume na mipango ya serikali na chama tawala (CCM), akisisitiza kuwa yeye pekee ana uwezo wa kulilinda jimbo hilo kubaki chini ya ushawishi wake kwa njia yoyote itakayohitajika.
Kauli hizo zimeibua taharuki miongoni mwa wananchi na wadau wa demokrasia, huku baadhi wakidai kuwa ni hatari kwa usalama na uhuru wa kisiasa katika eneo hilo.
Wewe raia wa kawaida unaweza bwabwaja hivo na bado ukaachwa?Hayuko…. Anabwabwaja tu sifa za siasa
Angesema wa chadema ni uhaini
Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na kuwaumiza watu wanaochapisha taarifa kumhusu kwenye mitandao ya kijamii.
Katika kauli zake, Sangu amedai kuwa yeye ni jasusi aliyefunzwa na serikali kupitia Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), akisisitiza kuwa mafunzo hayo anayatumia kuwazuia watu asiowataka kuingia au kushindana naye kisiasa ndani ya jimbo la Kwela.
Amedai kuwa kwa kutumia mbinu hizo, amefanikisha kulizuia jimbo hilo kugawanywa kinyume na mipango ya serikali na chama tawala (CCM), akisisitiza kuwa yeye pekee ana uwezo wa kulilinda jimbo hilo kubaki chini ya ushawishi wake kwa njia yoyote itakayohitajika.
Kauli hizo zimeibua taharuki miongoni mwa wananchi na wadau wa demokrasia, huku baadhi wakidai kuwa ni hatari kwa usalama na uhuru wa kisiasa katika eneo hilo.
Hiyo kawaida CCM ndugu

Mtunga Sheria anapotangaza kuvunja Sheria hadharani hiyo ni hatari zaidi ya mwizi wa kuku mtaani.