PreGE2025 Naibu Waziri Deus Sangu: Mimi ni mafia, nitawashughulikia wanaotaka kugombea jimbo la Kwela

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii clip mbona ya muda sana, Ndio kuchafuana kwenyewe!
 
Kama huyu ni TISS kweli chombo kinachotegemewa na nchi kulinda usalama basi taifa liko uchi .
Bado mnaishi kizamani sana! Hii mentality ya TISS kutojulikana imepitwa na wakati!

Kwa sasa Technologia ndio kila kitu.
 
Hadithi Husika:

1. Mtume (SAW) amesema:

"Hatakuwako Peponi mtu yeyote mwenye kiburi hata kiasi cha chembe."
— Sahih Muslim



Hii hadithi inaonyesha kuwa kiburi na kujisifu ni tabia zinazohatarisha wokovu wa mtu.


2. Mtume (SAW) alionya kuhusu kujisifu:

"Mwenye kupenda kujitukuza na kutamba mbele ya watu, atafufuliwa Siku ya Kiyama akiwa mdogo kama chembe, watu wakimkanyaga."
— (Tirmidhi, Ibn Majah)
 
Maskini CCM, Dah kila wanavyojaribu kujificha wanaumbuka, kwenye mazingira kama haya ndio unaambiwa eti kuwe na UCHAGUZI huru na wa haki? PUMBAVU
 
Hadithi Husika:

1. Mtume (SAW) amesema:


— Sahih Muslim



Hii hadithi inaonyesha kuwa kiburi na kujisifu ni tabia zinazohatarisha wokovu wa mtu.


2. Mtume (SAW) alionya kuhusu kujisifu:


— (Tirmidhi, Ibn Majah)
TAKBIR
 
Huu Huu ndo upumbavu tunasema ,mafia ,kwani jimbo la baba ake ,pumbavu sana
 
Hiki ni kipindi cha fitna! Hiyo clip ni ya muda mrefu sana, kama sijakosea ni 2021.

Uchaguzi unakaribia, watu wanachafuana kuharibu reputation za watu.
Wewe nawe !! Mbona unakuwa zwazwa? Au umepewa alfu tatu uje umtetee humu?

Kwa taarifa yako jinai huwa haina muda, kosa ni kosa tu
 
Unadhani Mafya huwa wanajitangaza basi? Wao huwa wanafanya action tu, sasa huyu mbulila anaejisema ni mafya anajidhalilisha
 
Unadhani Mafya huwa wanajitangaza basi? Wao huwa wanafanya action tu, sasa huyu mbulila anaejisema ni mafya anajidhalilisha
Unajua CV yake kwenye mafia hadi unamuandareiti hivyo?
Kama ni mtu wa idara,huwezi ukajua faili lake mzee.
 
Unajua CV yake kwenye mafia hadi unamuandareiti hivyo?
Kama ni mtu wa idara,huwezi ukajua faili lake mzee.
Bado narudia, mafia wana adabu na ethics za kazi, hawezi jitangaza hadharani kama mlevi
 
Bado narudia, mafia wana adabu na ethics za kazi, hawezi jitangaza hadharani kama mlevi
Nasema hivi,huna faili lake,huwezi ukakonkludi hivyo,waliokutana nae kwenye misheni zake ndo wanamjua.
 
Wewe nawe !! Mbona unakuwa zwazwa? Au umepewa alfu tatu uje umtetee humu?

Kwa taarifa yako jinai huwa haina muda, kosa ni kosa tu
Hiyo clip ni ya zaman! watu wanatafuta political mileage!

Kama ukishindwa kuelewa na hapa, basi wewe ndiye Baraka mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…