Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
akianzia palepale ofisi ya Naibu waziri mkuu atakua ametisha zaidiNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko ameelekeza utaratibu wa kubadili mifumo ya magari kutumia gesi asilia uanze na magari ya serikali na kuwa vituo zaidi vijengwe ili kupunguza matumizi ya mafuta.
View attachment 2749046
Wahuni Siyo WatuHapo Biteko kaustukia upigaji wa mafuta serikalini.
Namshauri aanze pia kuwaletea magari ya umeme.
Bonge la dili kila gari itafungwa mfumo si chini ya usd 2000Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko ameelekeza utaratibu wa kubadili mifumo ya magari kutumia gesi asilia uanze na magari ya serikali na kuwa vituo zaidi vijengwe ili kupunguza matumizi ya mafuta.
View attachment 2749046
Na kuziinua zingine za akina roast hamHaa
Dotto Ni Mapema Mno Yaani Utauwa Kampuni Za Watu
Eti kastukia upigaj 🤣🤣🤣huu ni ukoo wa panya upigaj ni sehem ya kaz zao!! Amin nakwambia mfumo wa utawala ulivyo hakuna wa kupambana na ufisadi na wizi! Hakuna!!Hapo Biteko kaustukia upigaji wa mafuta serikalini.
Namshauri aanze pia kuwaletea magari ya umeme.
Huyo sio MSUKUMAWasukuma wana akili sana, safi sana Biteko.
Asisahau kuna jamaa ana mitungi yake ya kijani kama milion 3 hvi....aligawa bure mitungi 30 tuuNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko ameelekeza utaratibu wa kubadili mifumo ya magari kutumia gesi asilia uanze na magari ya serikali na kuwa vituo zaidi vijengwe ili kupunguza matumizi ya mafuta.
View attachment 2749046
Jk anam Zom tuHaa
Dotto Ni Mapema Mno Yaani Utauwa Kampuni Za Watu
Hene ubebe geteWasukuma wana akili sana, safi sana Biteko.
Safi sana tena tumechelewa sana,hawa watu wenye mafuta wanacheza na akili za watuNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko ameelekeza utaratibu wa kubadili mifumo ya magari kutumia gesi asilia uanze na magari ya serikali na kuwa vituo zaidi vijengwe ili kupunguza matumizi ya mafuta.
View attachment 2749046
Hahahahahah hapo atacheza kama Pele ila asichokijua ni kuwa mstaafu mmoja amewekeza kwenye sheli za bluu bluu kila mtaa 🤣🤣🤣 huenda kibarua chake kikaota nyasi kabla mpango haujakamilika maana mstaafu ndio infulensa wa shughuli zote za serikali!Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko ameelekeza utaratibu wa kubadili mifumo ya magari kutumia gesi asilia uanze na magari ya serikali na kuwa vituo zaidi vijengwe ili kupunguza matumizi ya mafuta.
View attachment 2749046
Acha zife,tumechelewa sanaHaa
Dotto Ni Mapema Mno Yaani Utauwa Kampuni Za Watu