Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakwambia Doto ni msukuma..??Wasukuma wana akili sana, safi sana Biteko.
... mfano tu; yale malori ya Dangote (50 tons) yaliyotapakaa nchi nzima yanatumia CNG. Africa's #1 billionaire ana-prefer CNG; serikali inayolia kila siku "kasungura kadogo" inaendekeza sio tu highly luxurious cars ila pia expensive running costs.Naomba kuuliza kwa yeyote mwenye uelewa..!! Hivi kubadili system ya gari kutoka ya mafuta na kuja ya gesi, ni kwa magari yote ya mafuta ya petroli na diesel au petroli pekee..!!??
Serikali ikianza kutumia itasaidia sana... mfano tu; yale malori ya Dangote (50 tons) yaliyotapakaa nchi nzima yanatumia CNG. Africa's #1 billionaire ana-prefer CNG; serikali inayolia kila siku "kasungura kadogo" inaendekeza sio tu highly luxurious cars ila pia expensive running costs.
Atauwa kampuni zipi?Haa
Dotto Ni Mapema Mno Yaani Utauwa Kampuni Za Watu
Petrol stations zilizo tayari zipewe tax holiday kwa ajili ya kuwekeza kwenye pumps na miundombinu mingine ya CNG kama tankers, etc. ili kuchochea matumizi ya gas badala ya mafuta.Kama Petrol/Diesel Filling Stations zinaweza kugeuzwa kuwa za kujaza CNG itakuwa rahisi. Kama sivyo, JK atapiga pini tu
Unataka Kijana wa watu afe mapema,yeye Mama kashindwa nini kuamuli ilo lifanyike!Hapo Biteko kaustukia upigaji wa mafuta serikalini.
Namshauri aanze pia kuwaletea magari ya umeme.
Gari lafungwa mfumo wa pili wa kutumia gesi badala ya mafuta. Hivyo baadae ule mfumo wa mafuta waweza kuondolewa au kuachwa umefungwa usitumike moja kwa moja. Zipo kampuni kadhaa zenye utanzu na kampuni za nje zinofanya mambo haya na huenda ndo ziko nyuma ya wazo la Naibu Waziri Mkuu.Naomba kuuliza kwa yeyote mwenye uelewa..!! Hivi kubadili system ya gari kutoka ya mafuta na kuja ya gesi, ni kwa magari yote ya mafuta ya petroli na diesel au petroli pekee..!!??
The Boss Hii kauli angesema January Makamba kama naona ambavyo raia wangesema anataka kupiga hela kupitia gesi ya "Rostam" hahahaha.Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko ameelekeza utaratibu wa kubadili mifumo ya magari kutumia gesi asilia uanze na magari ya serikali na kuwa vituo zaidi vijengwe ili kupunguza matumizi ya mafuta.
View attachment 2749046
Zile mbona pia Zina deal na gesi!! Hivi si humu ndio walimshtumu kuwa JK na Rostam wananufaika na umeme wa gesi ndio maana wanahujumu umeme wa Maji!! Sasa kivipi Tena kuhamia kwenye gesi ndio kuwakomoa?Hahahahahah hapo atacheza kama Pele ila asichokijua ni kuwa mstaafu mmoja amewekeza kwenye sheli za bluu bluu kila mtaa 🤣🤣🤣 huenda kibarua chake kikaota nyasi kabla mpango haujakamilika maana mstaafu ndio infulensa wa shughuli zote za serikali!
Utaachiwa magari yako watakwenda kwenye bodaboda na daladala ambako wasafiri husahau chenji.Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko ameelekeza utaratibu wa kubadili mifumo ya magari kutumia gesi asilia uanze na magari ya serikali na kuwa vituo zaidi vijengwe ili kupunguza matumizi ya mafuta.
View attachment 2749046
Wanaanzaga hivi hivi ila subiri ripoti ya CAG hutoamini macho yako. Utasikia mfumo wa gari moja umebadilishwa kwa million 10Huyu jamaa kila analogusa linanivutia kweli.
The Boss Hii kauli angesema January Makamba kama naona ambavyo raia wangesema anataka kupiga hela kupitia gesi ya "Rostam" hahahaha.
Wew mpu.mbavu hujui chochoteHuyo sio MSUKUMA