Naibu Waziri wa Afya amuondolea madaraka Mkuu wa Idara Paul Koroso, aliyemjibu “Sijali lolote hata nikifukuzwa kazi”

Wakati mkisifia wezi mtambue kwamba kinachoibwa huko halmashauri na kwingineko ni jasho la walalahoi.
 
Chama kushika hatamu kuwe kwenye chama chenyewe siyo serikani.Hawa wanasiasa kwa muda mrefu wamekuwa wakiingilia kazi za kitaalamu.Hili liwe funzo kwa madiwani pia.Bravo km Ujenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…