voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
Wakati mkisifia wezi mtambue kwamba kinachoibwa huko halmashauri na kwingineko ni jasho la walalahoi.Taarifa zinasema mkuu wa Idara ya Ujenzi Wizara ya Afya anaendelea na majukumu yake kama kawaida baada ya kubainika kuwa Naibu Waziri hana mamlaka ya kumshusha cheo mtumishi wa wizara
Dkt. Mollel alimvua Madaraka ya ukuu wa Idara ya Ujenzi Injinia Korosso baada ya manishano ya kitaaluma ya hapa na pale
pia soma - Naibu Waziri wa Afya amuondolea madaraka Mkuu wa Idara aliyemjibu “Sijali lolote hata nikifukuzwa kazi”