Naibu Waziri wa Afya amuondolea madaraka Mkuu wa Idara Paul Koroso, aliyemjibu “Sijali lolote hata nikifukuzwa kazi”

Katibu Mkuu atumbuliwe hafai kuwepo hapo na ameonesha insurbordination ya kiwango kikubwa.

Huwezi kuruhusu mtu wa chini kujibizana na waziri ukaona ni sawa kwa Sababu sio mamlaka ya naibu waziri.
 
Kwa iyo Kama mtu ni kiongozi asijibiwe Hata pale ambapo anaongea Mambo ya ajabu? Si alipewa fact kutokana na kile ambacho hakijui, hatuwezi kuwa na watu waogawaoga, kazi ni dhamana LAZIMA simamia kweli, mtu anakwambia umeiba live na wewe unafact hujaiba unamuacha usimpe fact kisa kiongozi?
 
Naunga mkono
 
Katibu Mkuu atumbuliwe hafai kuwepo hapo na ameonesha insurbordination ya kiwango kikubwa.

Huwezi kuruhusu mtu wa chini kujibizana na waziri ukaona ni sawa kwa Sababu sio mamlaka ya naibu waziri.

..Katibu Mkuu wa wizara ndie muajiri ktk wizara husika.

..Yeye pia ndiye mwenye mamlaka ya kuwawajibisha na kuwachukulia hatua za kinidhamu watumishi wa wizara yake.

..Kwa hiyo Waziri hana mamlaka ya kufuta mtumishi kazi, iwe ni mkurugenzi, dereva, mfagizi, etc.

..Kama Waziri anaamini mtumishi wa wizara amekosea, anatakiwa amshtaki kwa KATIBU MKUU ambaye anatakiwa AJIRIDHISHE na tuhuma zilizotolewa kabla ya kuchukua HATUA.
 
Taarifa zinasema mkuu wa Idara ya Ujenzi Wizara ya Afya anaendelea na majukumu yake kama kawaida baada ya kubainika kuwa Naibu Waziri hana mamlaka ya kumshusha cheo mtumishi wa wizara

Dkt. Mollel alimvua Madaraka ya ukuu wa Idara ya Ujenzi Injinia Korosso baada ya manishano ya kitaaluma ya hapa na pale

pia soma - Naibu Waziri wa Afya amuondolea madaraka Mkuu wa Idara aliyemjibu “Sijali lolote hata nikifukuzwa kazi”
Huyu Mollel ni mzigo wa misumari kwa Samia
 
Mkuu aya matatizo yapo kwenye idara nyingi ,watu hawajui mipaka yao ya KAZI, ikiwa na cheo anaona wale wote wapo chini yake anaweza kufanya atakavyo, kitishia n.k, Sasa dawa ya Hawa pale unapomkuta mtumishi anajua taratibu na kanuni katika utumishi, mtaenda wataenda sawa
 
Taarifa zinasema mkuu wa Idara ya Ujenzi Wizara ya Afya anaendelea na majukumu yake kama kawaida baada ya kubainika kuwa Naibu Waziri hana mamlaka ya kumshusha cheo mtumishi wa wizara

Dkt. Mollel alimvua Madaraka ya ukuu wa Idara ya Ujenzi Injinia Korosso baada ya manishano ya kitaaluma ya hapa na pale

pia soma - Naibu Waziri wa Afya amuondolea madaraka Mkuu wa Idara aliyemjibu “Sijali lolote hata nikifukuzwa kazi”

Koroso ameweka msimamo wa wakikurua kabisa🤣🤣
 
Huyo katibu mkuu hajielewi ukiruhusu hili si kila mtu atamjibu bosi wake anavyotaka??
 
Viongozi wanaoteuliwa ni vizuri wapewe semina za uongozi.
Wanajisahau wanatoa maagizo ya kitaalamu huku wakijua wao ni wateuliwa.

Viongozi wanaoteuliwa, jukumu lao ni kutangaza mafanikio na sera!,kinyume na hapo wana muhujumu aliyewateua.
 
Taarifa zinasema mkuu wa Idara ya Ujenzi Wizara ya Afya anaendelea na majukumu yake kama kawaida baada ya kubainika kuwa Naibu Waziri hana mamlaka ya kumshusha cheo mtumishi wa wizara

Dkt. Mollel alimvua Madaraka ya ukuu wa Idara ya Ujenzi Injinia Korosso baada ya manishano ya kitaaluma ya hapa na pale

pia soma - Naibu Waziri wa Afya amuondolea madaraka Mkuu wa Idara aliyemjibu “Sijali lolote hata nikifukuzwa kazi”
Huyu mhe. Ndio walimuingizaga chaka Mwendazake kipind cha corona
 
Back
Top Bottom