nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Taja muda wewe mtu.Leo Februari 11 Mwaka huu kuanzia mchana Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Watoto, Daktari Godwin Mollel atazungumza na taifa kupitia vyombo habari na matangazo hayo kurushwa mubashara na TBC Taifa kuzungumzia hali ya Afya hapa Nchini kwa ujumla wake, mfahamishe ambaye hana taarifa.
Mara baada ya Mh Rais Magufuli kumaliza kufanya uzinduzi na kuweka jiwe la Msingi.Taja muda wewe mtu.
This is duplication of efforts. Jana Mganga Mkuu wa Serikali kazungumza, leo tena tunaambiwa Naibu Waziri wa Afya ataongea!!!!......that's well, cha msingi wasije wakapishana and then wakawachanganya wananchi.Leo Februari 11 Mwaka huu kuanzia mchana Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Watoto, Daktari Godwin Mollel atazungumza na taifa kupitia vyombo habari na matangazo hayo kurushwa mubashara na TBC Taifa kuzungumzia hali ya Afya hapa Nchini kwa ujumla wake, mfahamishe ambaye hana taarifa.
Huyu naibu atakuja katuvalia suruali zake za pedo, na viatu bila socks, kisha atusute huku mdomo wake uko upande!Sinema zinataka kuanza bila shaka
Ambaye hakumuelewa aendelee kuhangaika tu na kusubiri matamkoNi jambo jema!
Mimi nilimuelewa sana mganga mkuu wa serikali prof Makubi jana!
Ni kweli kabisa, siku zote ndugu Mollel ambae ndie Naibu Waziri wa Afya haelewekagi anavyoongea.Mbona tayari sijamwelewa wakati bado hajaongea!!? Kichwa changu hiki kwakwelii[emoji21]
Watu hutawalia kisaikolojia kwanza huko kunakofuata ni mteremko tu.!"Wataalam wa WHO waliokuwa wanachunguza kama chanzo cha covid-19 ni kwenye Jimbo la Wuhan (China) wamethibitisha kuwa sio kweli kirusi hicho hakikuanzia hapo... "
"Watafiti wamegundua kuvaa barakoa mbili kwa mpigo kunapunguza uwezekano wa kupata covid kwa asilimia 95..." nimeiona Fox News leo asubuhi! nimejikuta nawaza hivi:
Binadamu bila kujali ni kutoka Magharibi au Congo, msomi au hajasoma, wota tuna tabia moja TUNAPENDA KUTAFUTA FARAJA hata pasipo, naona hata hapa JF wengi wanatafuta FARAJA....chanjo ni FARAJA, barakoa ni FARAJA, kujitenga ni FARAJA, naibu Waziri wa Afya ataongea FARAJA....
Nje ya faraja ni PAIN (ukweli ni PAIN) Tukiambiwa ukweli kuwa wazungu na teknolojia zao hawajajua korona ni nini tunakataa kwakuwa ukweli ni PAIN.....naishia hapa kwa kuwa watakaoelewa hawafiki 10....