"Wataalam wa WHO waliokuwa wanachunguza kama chanzo cha covid-19 ni kwenye Jimbo la Wuhan (China) wamethibitisha kuwa sio kweli kirusi hicho hakikuanzia hapo... "
"Watafiti wamegundua kuvaa barakoa mbili kwa mpigo kunapunguza uwezekano wa kupata covid kwa asilimia 95..." nimeiona Fox News leo asubuhi! nimejikuta nawaza hivi:
Binadamu bila kujali ni kutoka Magharibi au Congo, msomi au hajasoma, wota tuna tabia moja TUNAPENDA KUTAFUTA FARAJA hata pasipo, naona hata hapa JF wengi wanatafuta FARAJA....chanjo ni FARAJA, barakoa ni FARAJA, kujitenga ni FARAJA, naibu Waziri wa Afya ataongea FARAJA....
Nje ya faraja ni PAIN (ukweli ni PAIN) Tukiambiwa ukweli kuwa wazungu na teknolojia zao hawajajua korona ni nini tunakataa kwakuwa ukweli ni PAIN.....naishia hapa kwa kuwa watakaoelewa hawafiki 10....