Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

Watanzania wengi ni malofa

Ndugulile aliongea ishu ya kujifukiza na barakoa za N95 kabla ya Magufuli...hivyo hakwenda kinyume na boss wake...
Soma tweets zake za karibuni utajua kwani ametumbuliwa.
 
Pia udaktari wake ni academically sana! Nilimshangaa sana alipokuwa anakataa watu kujifukiza wakati kujifukiza kupo tangu dunia hii iumbwe labda tungetumie neno la kizungu la STEAMING ndiyo angeelewa au SAUNA.

Then akaja na ugoro mwingine wa kusema kuwa barakoa za vitenge hazifai bila hata kufanya research yoyote wenzake wamefanya research na kuona kumbe barakoa inazuia corona virus 99.9%.

Kibaya zaidi Mawaziri wa Viwanda na Tamisemi walikuwa tayari wanahamasisha barakoa za vitenge na nyungu yeye anapinga. Administeatively alipashwa kujihudhuru kwanza ndiyo atoe mawazo yake hayo ya ki academically.

Kwanza si member wa Baraza la Mawaziri hivyo alipashwa kumuuliza kwanza waziri wake ili kujua msimamo wa serikali kuhusu Barakoa na Nyungu. Lakini bado anaweza kujirekebisha na kurudi barazani next time.
 
Pia udaktari wake ni academically sana! Nilimshangaa sana alipokuwa anakataa watu kujifukiza wakati kujifukiza kupo tangu dunia hii iumbwe labda tungetumie neno la kizungu la STEAMING ndiyo angeelewa au SAUNA...
Kujifukiza kunauwa virus kumbe?

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Experienced Professional? but lacking common wisdom. Extremely horrible!
 
Ndungulile alitaka sayansi itawale na sio ujinga wa nyungu sijui kujifukiza ambako hakuna ushahidi wa kisayansi kama kunatibu ugonjwa. Hii iko kinyume na matakwa ya boss anaetaka ujinga ndio utumike kama tiba ya corona...
Mkuu utakuwa na PDF ya hicho kitabu unisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia udaktari wake ni academically sana! Nilimshangaa sana alipokuwa anakataa watu kujifukiza wakati kujifukiza kupo tangu dunia hii iumbwe labda tungetumie neno la kizungu la STEAMING ndiyo angeelewa au SAUNA...
Mkuu umenena. huyu jamaa aanaonekana ni "walking encyclopedia" lakini inahitaji akili kubwa kuelewa hili.
 
Hapana ndugu Valuwhanoswela sitafuti uteuzi wowote natoa mchango wa mawazo kama wanajukwaa wengine. Jaribu kusoma maoni na kuyajadili kama yalivyo badala ya kuanza kubashiri..
 
Ndugulile kajiuzulu mkuu. Hiyo ni janja ya Magufuli.

Wewe ndo unamsemea Ndugulile, au wewe ni mke wake?
Mbona wanaotoka chadema wanajisemea wenyewe, iweje ndugulile umsemee wewe
 
Mkuu ukichunguza utaona tamko la Ngungulile lilikuja kabla la lile la JPM labda kama ulitaka ali-retract (kula) matapishi yake, kitu ambacho ni unafiki.

Wawli hawa wana maono na mitazamo tofauti. Huko kwenye mambo ya upimaji na utoaji wa takwimu huenda pia kumechangia kwani jamaa ndio amembobea huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…