Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii

Sent by IPhone
 
Kwahiyo kamati ipendekeze naibu aondolewe kisha waziri kamili abaki. Ujue unabishana na mtu mwenye akili na upelelezi wa hali wa juu wa mambo. Ukiona nimeandika kitu usijibu tena utumbo kama huu. Jiondokee kimya kimya.
Upuuzi mtupu huna ulijualo kaa kimya, Masauni baada ya wizara kuvurunda aliondolewa? usijiaibishe hapa subiri Chuma atakueleza kwa nini kamwondoa na ninakuquote ili usije kuedit posts zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I'm happy huyu Mollel kichwa kizuri sana asante Rais kwa kumuona huyu comrade, he is such an awesome brain
 

Mwache apumzike, majivuno yalizidi sana! Pia unyanyasaji mkubwa katesa wengi! Let him go to hell on foot!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…